Huu mtindo wa nywele kiofisi unakubalika?

Mkuu hizo mbona mwenyewe zipo boss, nilianza brash na shampoo since nikiwa mdogo hata shule sijaanza na nimezoea mpka leo siwezi chana nywele na chanuo la kawaida ni brash tu, sema kuna level nywele zikikua sana zinaonekana kwa mbali hii inahitaji kuhudhuria saluni kila wiki.
 
Ni kweli kwa brush ina kubali ila kupata nyuzi 360 kwa brush pekee ni kazi labda uwe na nywele laini au upate mafuta mazuri
Na uwe na kile kitambaa kinaitwa durag kwajl ya kuzimaitain ata ukilala usiku
 
Inategemea na ofisi husika...kama ni taasisi ya kimataifa unaweza kutupia ila kama ni ofisi ya kiserikali usijaribu.

Mfano kazini kwangu kuna watu wanafuga rasta na hakuna anayewasumbua.
Mie hua nanyoa staili ya kijeshi au nywele saizi moja za brash kwa kua sina muda wa kuhangaika na nywele.
 
Sawa umesomeka mkuu

Umeongea pointi
 
Back
Top Bottom