Huu mtindo wa nywele kiofisi unakubalika?

Huu mtindo wa nywele kiofisi unakubalika?

hicho kitambaa kikoje na kinapatikana wapi?
Hicho apo amazon, ebay ukiagiza unapata mkuu
images.jpeg
 
Hii style naipenda kuna kipindi nliweka mwamba ,kwa wale wenye kipilipili unahitaji kuhakikisha unaosha nywele kabla ya kwenda kulala alafu upate mafuta mazuri na kuchana utumie brush ndani ya week moja tu unatengeneza huu muonekano
 
Back
Top Bottom