Mr. Purpose
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 1,468
- 2,767
Na uwe na kile kitambaa kinaitwa durag kwajl ya kuzimaitain ata ukilala usikuNi kweli kwa brush ina kubali ila kupata nyuzi 360 kwa brush pekee ni kazi labda uwe na nywele laini au upate mafuta mazuri
Kuna jamaa yuko UN ni suka lakini ana rasta na yuko smati sana.mfano daktari,mwalimu,banker?
Wanafunzi watakua wanakuita mwalimu wigimfano daktari,mwalimu,banker?
Inategemea na ofisi husika...kama ni taasisi ya kimataifa unaweza kutupia ila kama ni ofisi ya kiserikali usijaribu.
Mfano kazini kwangu kuna watu wanafuga rasta na hakuna anayewasumbua.
Mie hua nanyoa staili ya kijeshi au nywele saizi moja za brash kwa kua sina muda wa kuhangaika na nywele.
Umeongea pointiInategemea na ofisi husika...kama ni taasisi ya kimataifa unaweza kutupia ila kama ni ofisi ya kiserikali usijaribu.
Mfano kazini kwangu kuna watu wanafuga rasta na hakuna anayewasumbua.
Mie hua nanyoa staili ya kijeshi au nywele saizi moja za brash kwa kua sina muda wa kuhangaika na nywele.
Umetaja tu hivyo nimeanza kusikia harufu ya kinyezKama magasho
Wakuu,
Hivi huu mtindo wa nywele kwenye ofisi unakubalika? Hasa hizi ofisi za kuajiriwa.
View attachment 1251223View attachment 1251227View attachment 1251225View attachment 1251226View attachment 1251229