Huu mtindo wa nywele kiofisi unakubalika?

Hii style naipenda kuna kipindi nliweka mwamba ,kwa wale wenye kipilipili unahitaji kuhakikisha unaosha nywele kabla ya kwenda kulala alafu upate mafuta mazuri na kuchana utumie brush ndani ya week moja tu unatengeneza huu muonekano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…