Huu mtindo wa Rais kujifichia kwenye kamati/ kikosi kazi unaitwaje kitaalamu?

Huu mtindo wa Rais kujifichia kwenye kamati/ kikosi kazi unaitwaje kitaalamu?

Kuna kitu nilisikia Rais akikitamka kwenye hotuna yake ya mapokezi ya ripoti ya TCD, anataka kuwepo na code of conduct ya vyama vya siasa. Alienda mbali na kusema amechoka kisikia Tanzania kwenye vyombo vya nje vya habari kama CNN, Al-Jazeera na BBC kila siku.

Huko tunakokwenda kutakua na umnywaji wa vyama vya siasa kutoa malalamiko na mawazo yao kwenye vyombo vya habari vya nje kwani hivi vya kwetu vinajua kutoa propaganda za CCM tu.
 
Anajificha kwenye kikosi kazi ili majibu yakiwa ya hovyo kama yale ya jana ya kina Mukandara aseme yeye hausiki, amepokea tu mapendekezo toka kwa wajumbe wa tume, kumbe yeye ndie aliyewanyooshea njia tume waje na majibu gani.
Yake majibu ya kina Mukandara mbona aliyasifu na ki aina amewahakikishia ma V8, mafuta, mishahara na posho kwa miaka yake yote tisa ya Urais.
 
Back
Top Bottom