mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 938
- 1,540
Sasa hivi kumekuwa na wimbi kubwa la vijana hasa Hawa wa 2000, kinachonisikitisha ni namna vijana Hawa wanavyopromote na kupotray kuwa mtu kuwa Mzee ni kitu kibaya, tabia hii mostly imeanzia Kwa wasanii mfano,
1. Kuna msanii anaitwa Abby chams , alimrefer TID kama yule mbabu mwenye kipara Hana inshu.
2. Social lite karem Simba na rushaina wamesema diva kuwa yule ni mbibi Hana thamani.
3. zari wamemuita sana bibi. Tukinai.
Kwa kizazi Cha Sasa vijana wanaona kuwa Mzee ni jambo mbaya, lakini lazma waelewe kuwa hao wazee ndo Wana run dunia, na ndo hao wan run Tanzania.
Kinachotakiwa kufanywa wao wautumie ujana wao vizuri Ili wajenge maisha yao ya baadae, mana hawatakuwa vijana milele. Pia turudishe utamaduni mtu alikuzidi Umri hata kama ni miaka 5 muheshimu .
Serikali na TCRA waangalie sana hii sumu inasambazwa sana na wasanii, wa msigixo, video vixen, bongo fleva kuwa uzee ni kitu kibaya na hii husababisha wazee kutopata heshima.
According to gen Z uzee ni kuanzia miaka 35 kwenda mbele