Huu mtindo wa Vijana wa Sasa Kutumia Uzee kukashifu watu , Nini shida

We naye uache mambo ya watoto umeisha zeeka,hadi sasa unawajua wakina Abby chams sijui ndio nani kwanza
 
Mzee bila PE$A na MAFANIKIO yanayoonekana kwa macho, wewe ni MZEE_MZEMBE. dharau hazitaisha kwako kamwe.
 
Mimi naona fahari mtu kuniita mzee! Nachukia kijana kuniita Bro
 
Wee mzee mbona una paniki? Hata wao watazeeka na wataitwa hivohivo na watoto wa 2010. Hata kina diva na zari nao waliita wa nyuma yao wazee. Hakuna jipya.
 
Hata kama wajinga pia huzeeka, lakini sio jambo jema kuwakosea adabu wazee tafadhali...🤨
 
TID kuitwa babu na diva kuitwa bibi wameheshimishwa sijaona shida iko wapi

Ulitaka Abby amwite TID "bro"
 
33+ ni mzee...
 
Hasira za nini nyie wazee mmeshazeeka subirini kifo pumbavu zenu
Wewe bata (lil duck) hicho hakitaniwi, unaweza kesho tu kuondoka, mara akaunti yako tunashangaa haiposti kumbe tayari safari ishaisha
 
Mimi naona fahari mtu kuniita mzee! Nachukia kijana kuniita Bro
inategemeana umeitwa hivyo kwa mukhtadha gani. Enzi nipo sekondari vijana tulikuwa tunaitana mzee, unasikia naitwa mzee loth mambo vipi?
 
Mh wanajiona kama vile wao hawatafika umri wa kuitwa mashangazi na kuitwa mubabaz..undhani ni mbali bassiiii soon 28 30 hii hapa unajishangaa uliyekuwa unaita wenzio wazee unaitwa ww ss..alafu wanamentallity za kibwege sana eti umezeeka subiri kufa sjui hawaoni vijana wanavyopukutika wanawaacha wazee..chui wanajikuta nani hawa..
 
Hakikisha kama umekuwa mzee
1. Uwe na kashi flow
Duka lolote nguo etc​
Wakala​
Hisa benki etc​
Hardware​
Halafu usipende kubet​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…