Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa ndugu zangu wachaga watakuwa wanafuata miujiza ya pesa ha!ha!
Wakristo? Acha udiniWakristo wanapenda miujiza nadhani ndio kitu pekee chenye kuwafanya waone wapo sahihi kiimani.
Sio wanawake wote mkuu...Mitume, manabii na waganga wanategemea wanawake Ili waishi maana ndio wateja wao wakuu.
Ukitaka kukosana na mwanamke mseme vibaya mwamposa
We kondoo hebu tulia...nani kasema ni uzushi?Usipende kuamini uzushi? Umejuaje alimtoa kafara mtoto wake?!
HaahaaahaaHao mashahidi huwa wanapangwa kama wa kwenye kesi ya Mbowe tatizo waandaaji script wanachemka
Mambo haya utayakuta KANISANI tu 🤣🤣🤣Huwa sipendi sana kuingilia imani ya mtu ila kwa jana nimeona kabisa MTUME na NABII Mwamposa kuna dalili za upigaji[emoji2307][emoji2307]
Kuna mahali nilikuwepo wameweka ile chanel yake watu wanatoa ushuhuda jamaa mmoja akasema alienda kuomba apate hela akala na keki siku hiyo yupo nyumbani akashangaa sms kucheki amepokea milioni 10 hajui ilipotoka kwa hofu akamshirikisha jirani, jirani akamwambia katoe labda Mungu kakuona akaenda kwa wakala kutoa ilivyotoka ikaingia tano ingine akatoa[emoji1787][emoji1787]
Najiuliza mtandao gani wa simu laini inaweza pokea milioni 15 na ikatoka ndani ya lisaa limoja[emoji2307][emoji2307]tena bora angekuwa mtu wa kutumia miamala jamaa anadai hakuwahi weka kwenye simu hata laki.
Jamaa akaendelea baada ya kutoa ile tano ikaingia mbili akatoa tena jumla akawa na milioni 17(sijui roho mtakatifu alilipia makato) jamaa anadai hakuwahi miliki milioni moja yake ila kwa mara ya kwanza akawa amepata milioni 17 akarudi home akaanza harakati za Ujenzi, mpaka sasa amefanikiwa kujenga, kununua pikipiki na kafungua biashara, anadai kuwa ule mtindo wa kupokea hela uliendelea hadi akakamilisha ujenzi wa nyumba ya Milioni 30 biashara na usafiri(pikipiki)sasa hivi ana mpango wa kununua gari.
Hela zote hajui zinatoka wapi.
Daah MUNGU anisamehe tu ila huu ni utapeli wa hadharani
Ona ulivyo na akili ndogo, unaamini kila mtu anaamini huo upumbavu mnaouita dini.We kondoo hebu tulia...nani kasema ni uzushi?
Usipende kuzusha, sijui mtu ametoa kafara ndugu yake, huna hata ushahidi. Nyie ndiyo mnaochafua watu kwa habari za kusadikika.We kondoo hebu tulia...nani kasema ni uzushi?
Mama alikuwa amejipara... Alikuwa ametengeneza ocult.
Akamalaghai hadi mama kanunba eti anaenda kumwonyesha kanumba kufika kamwonyesha eti mdada kanisani kwake akasema ndo roho ya kanumba imeingia hapo..
Yule mama alikuwa katengeneza ocult kabisa yani waumini wakimwona wanasujudu yani kuna muda unajiuliza hivi ubongo uwa unapigwa shoti au.
Kuna video niliona eti wanapigana vita ya amagadon. Yani watu wazima si wanawake si wanaume wanaviringishana kwenye mchanga halafu yeye huyo zumaridi anasema kwenye macho ya nyama unaona kawaida ila ulimwengu wa roho wanapigana hapo wanaelekea kushinda ni vita kali [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila yeye alikuwa hapigan hataki chafuka
Mimi sitaki kucheka banaUnajiona billionaire kumbe mfukoni huna hata 100 nyekundu. Mimi nilijaribu kwenda kanisa moja kudadisi baada ya rafiki kuniconvince sana. Wakawa wanapita kuombea watu kwanza fungeni macho mimi hua sifungi ng'ooo. Mara naona nasukumwa nikasema sianguki sukuma mwingine yupo nyuma anidake nikajikaza mpaka ikabid nijiachie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baadae mchungaji akatangaza kuna wageni humu ndani hawafai kanisani ni watu hatari sana. Nikajua ni mimi tu [emoji38][emoji38][emoji38]
Nimetafuta link imekosa ila ukitaka kujua kuwa ilikiwa ocult ona walivyokuwa wanamsujudiaWeee sema kweli?[emoji23][emoji23][emoji23]
wakristo mazuzu,acha wapigwe Sana tu, ukiwazindua wanakuambia uislam dini ya majini sijui Nini na Nini, wenzao Waislamu hakuna uho upuuzi, Kuna tapeli mmoja nae anajiita eti nabii shillah, Cha ajabu eti pia ana waumini na wanamuamini haswaa,Huwa sipendi sana kuingilia imani ya mtu ila kwa jana nimeona kabisa MTUME na NABII Mwamposa kuna dalili za upigaji[emoji2307][emoji2307]
Kuna mahali nilikuwepo wameweka ile chanel yake watu wanatoa ushuhuda jamaa mmoja akasema alienda kuomba apate hela akala na keki siku hiyo yupo nyumbani akashangaa sms kucheki amepokea milioni 10 hajui ilipotoka kwa hofu akamshirikisha jirani, jirani akamwambia katoe labda Mungu kakuona akaenda kwa wakala kutoa ilivyotoka ikaingia tano ingine akatoa[emoji1787][emoji1787]
Najiuliza mtandao gani wa simu laini inaweza pokea milioni 15 na ikatoka ndani ya lisaa limoja[emoji2307][emoji2307]tena bora angekuwa mtu wa kutumia miamala jamaa anadai hakuwahi weka kwenye simu hata laki.
Jamaa akaendelea baada ya kutoa ile tano ikaingia mbili akatoa tena jumla akawa na milioni 17(sijui roho mtakatifu alilipia makato) jamaa anadai hakuwahi miliki milioni moja yake ila kwa mara ya kwanza akawa amepata milioni 17 akarudi home akaanza harakati za Ujenzi, mpaka sasa amefanikiwa kujenga, kununua pikipiki na kafungua biashara, anadai kuwa ule mtindo wa kupokea hela uliendelea hadi akakamilisha ujenzi wa nyumba ya Milioni 30 biashara na usafiri(pikipiki)sasa hivi ana mpango wa kununua gari.
Hela zote hajui zinatoka wapi.
Daah MUNGU anisamehe tu ila huu ni utapeli wa hadharani
😂😂😂😂😂Anakwambia anavunja roho za uchawi na mizimu😂😂😂 upumbavu kabisa huu.Weee mimi nina ndugu yangu kaokoka yani kila mtu kwake mwanga, kila jirani yake mwanga, anaua mijusi kuwa inatumwaga na wachawi, paka yeyote akikatiza anasema ni mwanga, yani yeye kila kitu hivyo
Kwakweli ni kuwaacha mpaka waachike😂😂😂😂😂Anakwambia anavunja roho za uchawi na mizimu😂😂😂 upumbavu kabisa huu.
Hawa watu hiv hakunaga njia mbadara ya kuwatibu kisaikolojia ama kuwapa ushauri nasaha ili waache kuamini ujinga