Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hichi kitu Ni kweli Nahisi juju inahusika Sana sababu mm nawajua Hawa watu Kuna siku nimeingia kanisa flan aina ya hizi kanisa unaona kabsa hata mwili unachange na Unaanza Ku adapt haya mambo so hio Ni kweli kabsaSasa hapo mkuu unaona ni akili ya kawaida hiyo?...utoe hela yote ukose nauli[emoji848]
Yaan we ukiingia humo cha kwanza kabisa unapigwa msasa (juju)...hapo ndo unakuwa ndondocha mazima sasa
Wakristo wanapenda miujiza nadhani ndio kitu pekee chenye kuwafanya waone wapo sahihi kiimani.Niwe mkweli jamani mi naangaliaga sana hizi channel zao na kuhudhuria pia....wachaga wamejazana sana kwenye haya makanisa[emoji848]
Sasa sijajua wanapenda sana miujiza au ninini kinawajaza mle!
Wasomi pia wapo si unaona nimetoa mfano wa mdogo wangu, ni msomi lakini na yeye kaishapotea hivo[emoji1745]
Aaaah kmmke nimecheka SanaUnajiona billionaire kumbe mfukoni huna hata 100 nyekundu. Mimi nilijaribu kwenda kanisa moja kudadisi baada ya rafiki kuniconvince sana. Wakawa wanapita kuombea watu kwanza fungeni macho mimi hua sifungi ng'ooo. Mara naona nasukumwa nikasema sianguki sukuma mwingine yupo nyuma anidake nikajikaza mpaka ikabid nijiachie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baadae mchungaji akatangaza kuna wageni humu ndani hawafai kanisani ni watu hatari sana. Nikajua ni mimi tu [emoji38][emoji38][emoji38]
Yu cant zem, zei ari sifsi.Kwakweli kwa lugha ya kitaalam from ndalichakoroo anasema ze to be told mix with ze you.
Vitu vya kuamini vyenye kuthibitishika ni vp?Kasome(goigle) kuhusu Cults ndio utajua hakuna cha ndumbawala hallucinations..
Kwanza ukisha aamini kwenye vitu visivyothibitishika ndio rahisi kuingia kwenye hayo mambo..
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Upako yuke Gentleman aninivunjaga mbavu sana,, [emoji23],a standup guy....Thubutu, mimi kuna mwaka nilianza sali kwa mzee wa upako, mke na watoto wake sikuwahi kuwaona, ni mara moja tu mtoto wake alipohudhuria.
Tena kuna siku kaja sijui ashazimua asubuhi akawa anamsema mke wake kuwa analeta ujinga ujinga, anasema kwanini hafanyi kama makanisa mengine sijui akina ngwajima, akasema hana ushirika na mtu kwenye business ya kanisa lake. Kanisa ni la kwake wala mkewe hausiki. Alikuwa anasema madhabahuni na mkewe hakuwepo sijui walikuwa wametibuana home.
Anasema unakaa na wajinga wenzako huko manasema sema...
Mkuu we anzisha halafu ajili ma pastor uwalipe kwa mwezi,, utapiga pesa sanaYule sijui nabii sibue sijui nani yule anasema uwa wanakutana five star hotels dubai wanagonga champaigne.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ni business nzuri kusema kweli.
Na mimi ningekuwa na kipaji cha kuzungumza ningeanzisha la kwangu la new generation church niende sawa na feel free to worship jesus la masanja
Usipende kuamini uzushi? Umejuaje alimtoa kafara mtoto wake?!Si unaona Dad Bushiri baada ya kumtoa his beloved daughter
Hakuna..Vitu vya kuamini vyenye kuthibitishika ni vp?