Huu muujiza na ushuhuda niliosikia kwa Mwamposa umenistua

Huu muujiza na ushuhuda niliosikia kwa Mwamposa umenistua

Huwa sipendi sana kuingilia imani ya mtu ila kwa jana nimeona kabisa MTUME na NABII Mwamposa kuna dalili za upigaji[emoji2307][emoji2307]

Kuna mahali nilikuwepo wameweka ile chanel yake watu wanatoa ushuhuda jamaa mmoja akasema alienda kuomba apate hela akala na keki siku hiyo yupo nyumbani akashangaa sms kucheki amepokea milioni 10 hajui ilipotoka kwa hofu akamshirikisha jirani, jirani akamwambia katoe labda Mungu kakuona akaenda kwa wakala kutoa ilivyotoka ikaingia tano ingine akatoa[emoji1787][emoji1787]

Najiuliza mtandao gani wa simu laini inaweza pokea milioni 15 na ikatoka ndani ya lisaa limoja[emoji2307][emoji2307]tena bora angekuwa mtu wa kutumia miamala jamaa anadai hakuwahi weka kwenye simu hata laki.

Jamaa akaendelea baada ya kutoa ile tano ikaingia mbili akatoa tena jumla akawa na milioni 17(sijui roho mtakatifu alilipia makato) jamaa anadai hakuwahi miliki milioni moja yake ila kwa mara ya kwanza akawa amepata milioni 17 akarudi home akaanza harakati za Ujenzi, mpaka sasa amefanikiwa kujenga, kununua pikipiki na kafungua biashara, anadai kuwa ule mtindo wa kupokea hela uliendelea hadi akakamilisha ujenzi wa nyumba ya Milioni 30 biashara na usafiri(pikipiki)sasa hivi ana mpango wa kununua gari.

Hela zote hajui zinatoka wapi.

Daah MUNGU anisamehe tu ila huu ni utapeli wa hadharani

Miracle money ni money ritualisim. Hao occultic Prophet wanatumia sana hiyo miujiza.Shetani hanaga vya bure, huo muuzaji wa hizo millions lazima waulipie.
 
Analo lingine huku sijui maeneo ya mbweni lilizindukiwa mwaka jana nadhani. Dadangu alienda sali huko mara kadhaa maana eti mama yake wa kiroho ni mchungaji pale [emoji1787]
Hahaha [emoji23][emoji23][emoji1787]

Huyo dadaako sasa kafanikiwa anachokitafuta?
 
Mie mbona jana usiku nilipokea muujiza mkubwa kutoka tigo, yaani iliingia pesa ka frequency za FM hata bila kujua.

Kumbuka jana nilikanyaga mafuta kwa Mwamposa na sasa naenjoy walau my tigo pesa ina salio la 88.5 FM....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kama una akili timam huwezi kusali kwa Mwamposa
 
Tobaa!naye kawa nabii
Mimi sijui tu kuzungumza ningefungua langu Mana si kwa ugumu huu wa maisha
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ni dhambi sana mkuu, tafuta hela kwa njia nyingine ya halali utafanikiwa kuliko kumtumia Mungu kwenye utapeli[emoji848]
 
Alikuwa anajaza balaa[emoji16][emoji16]

Bado anajikoboa?

Kuna kipindi tulikuwa tunazungumzia mkorogo wake humu weee kidogo kondoo wake watumeze humu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mama alikuwa amejipara... Alikuwa ametengeneza ocult.
Akamalaghai hadi mama kanunba eti anaenda kumwonyesha kanumba kufika kamwonyesha eti mdada kanisani kwake akasema ndo roho ya kanumba imeingia hapo..
Yule mama alikuwa katengeneza ocult kabisa yani waumini wakimwona wanasujudu yani kuna muda unajiuliza hivi ubongo uwa unapigwa shoti au.
Kuna video niliona eti wanapigana vita ya amagadon. Yani watu wazima si wanawake si wanaume wanaviringishana kwenye mchanga halafu yeye huyo zumaridi anasema kwenye macho ya nyama unaona kawaida ila ulimwengu wa roho wanapigana hapo wanaelekea kushinda ni vita kali 🤣🤣🤣 ila yeye alikuwa hapigan hataki chafuka
 
Very true dear...sio akili za kawaida!

Na hii unadakwa mwanzoni kabisa ukiingia makanisa yao!

Ndo maana hushauriwi kuingia hata kama unaenda kuwachora[emoji23][emoji38][emoji1787]( mi nilikuwa na hii tabia mshua wangu akanikataza )
Unajiona billionaire kumbe mfukoni huna hata 100 nyekundu. Mimi nilijaribu kwenda kanisa moja kudadisi baada ya rafiki kuniconvince sana. Wakawa wanapita kuombea watu kwanza fungeni macho mimi hua sifungi ng'ooo. Mara naona nasukumwa nikasema sianguki sukuma mwingine yupo nyuma anidake nikajikaza mpaka ikabid nijiachie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baadae mchungaji akatangaza kuna wageni humu ndani hawafai kanisani ni watu hatari sana. Nikajua ni mimi tu [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mie mbona jana usiku nilipokea muujiza mkubwa kutoka tigo, yaani iliingia pesa ka frequency za FM hata bila kujua.

Kumbuka jana nilikanyaga mafuta kwa Mwamposa na sasa naenjoy walau my tigo pesa ina salio la 88.5 FM....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kama una akili timam huwezi kusali kwa Mwamposa
Ila anapiga hela jamani mweeh[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mbona mimi sipokeagi ka text ka hata mil 1 tu.
Mkuu hata message kama hizi hujawahi kupokea ?😁

IMG_20220207_110520.jpg
 
Sasa madam, inakuwa sio sawa umuite mwanamke mwenzio dear wakati kuna wanaume tuko na dear deficiency.
Hahaha hebu rudi kwenye mada please....vip umeokoka[emoji23][emoji23][emoji1787]

Unataka nikutendee muujiza gani leo[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huwa sipendi sana kuingilia imani ya mtu ila kwa jana nimeona kabisa MTUME na NABII Mwamposa kuna dalili za upigaji[emoji2307][emoji2307]

Kuna mahali nilikuwepo wameweka ile chanel yake watu wanatoa ushuhuda jamaa mmoja akasema alienda kuomba apate hela akala na keki siku hiyo yupo nyumbani akashangaa sms kucheki amepokea milioni 10 hajui ilipotoka kwa hofu akamshirikisha jirani, jirani akamwambia katoe labda Mungu kakuona akaenda kwa wakala kutoa ilivyotoka ikaingia tano ingine akatoa[emoji1787][emoji1787]

Najiuliza mtandao gani wa simu laini inaweza pokea milioni 15 na ikatoka ndani ya lisaa limoja[emoji2307][emoji2307]tena bora angekuwa mtu wa kutumia miamala jamaa anadai hakuwahi weka kwenye simu hata laki.

Jamaa akaendelea baada ya kutoa ile tano ikaingia mbili akatoa tena jumla akawa na milioni 17(sijui roho mtakatifu alilipia makato) jamaa anadai hakuwahi miliki milioni moja yake ila kwa mara ya kwanza akawa amepata milioni 17 akarudi home akaanza harakati za Ujenzi, mpaka sasa amefanikiwa kujenga, kununua pikipiki na kafungua biashara, anadai kuwa ule mtindo wa kupokea hela uliendelea hadi akakamilisha ujenzi wa nyumba ya Milioni 30 biashara na usafiri(pikipiki)sasa hivi ana mpango wa kununua gari.

Hela zote hajui zinatoka wapi.

Daah MUNGU anisamehe tu ila huu ni utapeli wa hadharani
Mimi nahisi kuna maelezo yana kosekana hapo,hela inapoingia inatoka kwenye namba ya nani?afterall yeye ni mtu wa Mungu kutumia pesa usiojuwa inatoka kwa nani ni makosa,kwani inawezekana ni mtu anatuma anakosea namba.So kwanini asiwe anauliza kwanza kutoka kwenye hiyo namba ili aweze kuwa na uhalali wa kuzitumia?ndio maana nasema labda kuna maelezo mengine hajayaweka hadharani...?
 
Niwe mkweli jamani mi naangaliaga sana hizi channel zao....wachaga wamejazana sana kwenye haya makanisa[emoji848]

Sasa sijajua wanapenda sana miujiza au ninini kinawajaza mle!

Wasomi pia wapo si unaona nimetoa mfano wa mdogo wangu, ni msomi lakini na yeye kaishapotea hivo[emoji1745]
Hawa ndugu zangu wachaga watakuwa wanafuata miujiza ya pesa ha!ha!
 
Unajiona billionaire kumbe mfukoni huna hata 100 nyekundu. Mimi nilijaribu kwenda kanisa moja kudadisi baada ya rafiki kuniconvince sana. Wakawa wanapita kuombea watu kwanza fungeni macho mimi hua sifungi ng'ooo. Mara naona nasukumwa nikasema sianguki sukuma mwingine yupo nyuma anidake nikajikaza mpaka ikabid nijiachie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baadae mchungaji akatangaza kuna wageni humu ndani hawafai kanisani ni watu hatari sana. Nikajua ni mimi tu [emoji38][emoji38][emoji38]
Haahaaahaaa[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] uwiii uko kama mimi!

Mimi nilisukumwa nikakataa kuanguka nikamuuliza mbona unanisukuma kwa nguvu tena kwa kuangukia mgongo kwenye tiles....nikaambiwa kaa pembeni we una pepo mchafu, badae hawakushughulika na mimi tena ( nikapotezewa)

Na hii iliikuwa niko kwenye utafiti wangu kuhusu haya makanisa, kote nimezunguka nawajua vizuri sana! ( Mpaka baba aliponikataza ndo nikaacha kwenda)
 
Back
Top Bottom