witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Niwe mkweli jamani mi naangaliaga sana hizi channel zao na kuhudhuria pia....wachaga wamejazana sana kwenye haya makanisa[emoji848]Hapo na wachaga naomba unifafanulie kwakweli.
Halafu kuna ambao shule ipo lakini nao wahanga vilevile.
Sasa sijajua wanapenda sana miujiza au ninini kinawajaza mle!
Wasomi pia wapo si unaona nimetoa mfano wa mdogo wangu, ni msomi lakini na yeye kaishapotea hivo[emoji1745]