Thubutu, mimi kuna mwaka nilianza sali kwa mzee wa upako, mke na watoto wake sikuwahi kuwaona, ni mara moja tu mtoto wake alipohudhuria.
Tena kuna siku kaja sijui ashazimua asubuhi akawa anamsema mke wake kuwa analeta ujinga ujinga, anasema kwanini hafanyi kama makanisa mengine sijui akina ngwajima, akasema hana ushirika na mtu kwenye business ya kanisa lake. Kanisa ni la kwake wala mkewe hausiki. Alikuwa anasema madhabahuni na mkewe hakuwepo sijui walikuwa wametibuana home.
Anasema unakaa na wajinga wenzako huko manasema sema...