Huu muujiza na ushuhuda niliosikia kwa Mwamposa umenistua

Huu muujiza na ushuhuda niliosikia kwa Mwamposa umenistua

Unategemea nini toka kwa watu waliokubali kuitwa wanakondoo? Kondoo hawana akili unawaswaga tu wanaenda unakotaka.
Si kwa maana hiyo ya moja kwa moja, vinginevyo una tatizo la lugha kama taaluma, maana ukilitazama kwa mantiki utapapa maana halisi, ila for beginners mambo haya huwa yanawaletea matatizo
 
Ushuhuda una chembe chembe za miujiza

Kihalisia kiwango cha mwisho kuhifadhi kwenye simu ni chini ya milion 4

Ila kwa mwamposa lolote linawezekana, yale maji yana power ya kupumbaza servers za mitandao na kufanya milion 10 iwe detected kama milion 1

Halafu kingine ambacho shuhuda hakukisimulia ni pesa ya makato, unajua ukishapata upako wa mwamposa hakuna muamala wowote ambao utakuwa na tozo wala makato?

Ni muda tu haukuwa rafiki ila shuhuda alikuwa na mengi ya kusimulia na yakushangaza na kuonesha ukuu wa Mungu kupitia nabii wake mnyakyusa mwamposa

Shalom
😂😂😂😂🔥
 
Huwa sipendi sana kuingilia imani ya mtu ila kwa jana nimeona kabisa MTUME na NABII Mwamposa kuna dalili za upigaji[emoji2307][emoji2307]

Kuna mahali nilikuwepo wameweka ile chanel yake watu wanatoa ushuhuda jamaa mmoja akasema alienda kuomba apate hela akala na keki siku hiyo yupo nyumbani akashangaa sms kucheki amepokea milioni 10 hajui ilipotoka kwa hofu akamshirikisha jirani, jirani akamwambia katoe labda Mungu kakuona akaenda kwa wakala kutoa ilivotoka ikaingia tano ingine akatoa[emoji1787][emoji1787]

Najiuliza mtandao gani wa simu laini inaweza pokea milioni 15 na ikatoka ndani ya lisaa limoja[emoji2307][emoji2307]tena bora angekuwa mtu wa kutumia miamala jamaa anadai hakuwahi weka kwenye simu hata laki.

Jamaa akaendelea baada ya kutoa ile tano ikaingia mbili akatoa tena jumla akawa na milioni 17(sijui roho mtakatifu alilipia makato) jamaa anadai hakuwahi miliki milioni moja yake ila kwa mara ya kwanza akawa amepata milioni 17 akarudi home akaanza harakati za Ujenzi,,mpaka sasa amefanikiwa kujenga,kununua pikipiki na kafungua biashara, anadai kuwa ule mtindo wa kupokea hela uliendelea hadi akakamilisha ujenzi wa nyumba ya Milioni 30 biashara na usafiri(pikipiki)sasa hivi ana mpango wa kununua gari.

Hela zote hajui zinatoka wapi.

Daah MUNGU anisamehe tu ila huu ni utapeli wa hadharani
Mdogo wangu imebaki nimnase mavibao sasa ndio kilichobaki... Maana hasikii na hawa matapeli
 
Si kwa maana hiyo ya moja kwa moja, vinginevyo una tatizo la lugha kama taaluma, maana ukilitazama kwa mantiki utapapa maana halisi, ila for beginners mambo haya huwa yanawaletea matatizo
Mimi naongelea wanakondoo, kwani wewe unazungumzia nini mkuu?
 
iko hivi, zile pesa za sadaka tunazo mtolea Mungu. Mungu akaona isiwe shida, acha ampe mjawake.
Basi Mungu akatumia Private Number kutuma Mpesa kwa Mjawake.
ni hivyo tu, tukazane kuomba
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji1787]
 
dah halafu majamaa matajiri kishenzi..

hivi watoto wao nao wanasali kwenye hayo makanisa yao? na kupokea hiyo miujiza..? watoto wao wanasoma kwenye hizi shule wanazomesha wanakondoo?
Watoto wao wengi wanakuwaga vya pombe na Bata sana
 
Pokeaa muujiiiiiiiza Kwa Jina la Yesu!

Ameeeeeen!

Pokeaa muujiiiiiiiza Kwa Jina la Yesu!

ameniiiiiiiiiiiiiii!

Ukapate muujiza wa gari ukapate muujiza wa nyumba,ukapate muujiza wa kazii omba muujizaaaaaa!

Kondoo: Ameeniiiiiiiii!

Haya wapendwa tunaomba ule mchango wa ujenzi wa nyumba na ununuzi wa gari la mchungaji wetu bwana atawabriki Sana!

Mimi:😲😲😲😲😲
 
Haya mambo mtu akinasa huwezi kumtoa ni kusubiri rehema tu imdondokee
Ukiweka na ubishi na ujuaji alionao huyu dogo ntakoma asee.... Sema huyu ntamtoa huko na maviboko

Haiwezekani wazazi wakulipie ada na Hela ya matumizi upeleke kwa hao artificial power[emoji848]

Ntamtandika huko huko mbezi kanisani mbele ya huyo jamaa, nimeshachafukwa vya kutosha
 
Pokeaa muujiiiiiiiza Kwa Jina la Yesu!

Ameeeeeen!

Pokeaa muujiiiiiiiza Kwa Jina la Yesu!

ameniiiiiiiiiiiiiii!

Ukapate muujiza wa gari ukapate muujiza wa nyumba,ukapate muujiza wa kazii omba muujizaaaaaa!

Kondoo: Ameeniiiiiiiii!

Haya wapendwa tunaomba ule mchango wa ujenzi wa nyumba na ununuzi wa gari la mchungaji wetu bwana atawabriki Sana!

Mimi:[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]
[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787]

Mwenyezi Mungu akikupa akili ya kuwajua hawa watu unabaki tu unacheka na kuwasikitikia waliopotea humo
 
Ukiweka na ubishi na ujuaji alionao huyu dogo ntakoma asee.... Sema huyu ntamtoa huko na maviboko

Haiwezekani wazazi wakulipie ada na Hela ya matumizi upeleke kwa hao artificial power[emoji848]

Ntamtandika huko huko mbezi kanisani mbele ya huyo jamaa, nimeshachafukwa vya kutosha
Anapeleka ada kwa mwamposa? Huyo sasa kavuka kipimo.
Wengine hapo eti wanaendaga kuombewa michepuko yenye familia iwe inachunika kirahisi iache ubahiri.
 
Dini ya kikristo imeingiliwa na waganga wa kishetani, wachawi na matapeli.

Na huu ni mwendelezo wa mwisho wa hii dini.
So sad😣!
 
Huwa sipendi sana kuingilia imani ya mtu ila kwa jana nimeona kabisa MTUME na NABII Mwamposa kuna dalili za upigaji[emoji2307][emoji2307]

Kuna mahali nilikuwepo wameweka ile chanel yake watu wanatoa ushuhuda jamaa mmoja akasema alienda kuomba apate hela akala na keki siku hiyo yupo nyumbani akashangaa sms kucheki amepokea milioni 10 hajui ilipotoka kwa hofu akamshirikisha jirani, jirani akamwambia katoe labda Mungu kakuona akaenda kwa wakala kutoa ilivyotoka ikaingia tano ingine akatoa[emoji1787][emoji1787]

Najiuliza mtandao gani wa simu laini inaweza pokea milioni 15 na ikatoka ndani ya lisaa limoja[emoji2307][emoji2307]tena bora angekuwa mtu wa kutumia miamala jamaa anadai hakuwahi weka kwenye simu hata laki.

Jamaa akaendelea baada ya kutoa ile tano ikaingia mbili akatoa tena jumla akawa na milioni 17(sijui roho mtakatifu alilipia makato) jamaa anadai hakuwahi miliki milioni moja yake ila kwa mara ya kwanza akawa amepata milioni 17 akarudi home akaanza harakati za Ujenzi, mpaka sasa amefanikiwa kujenga, kununua pikipiki na kafungua biashara, anadai kuwa ule mtindo wa kupokea hela uliendelea hadi akakamilisha ujenzi wa nyumba ya Milioni 30 biashara na usafiri(pikipiki)sasa hivi ana mpango wa kununua gari.

Hela zote hajui zinatoka wapi.

Daah MUNGU anisamehe tu ila huu ni utapeli wa hadharani
Aisee, mi nahisi huwa wanafundishwa cha kusema mbele ya kamera
 
Back
Top Bottom