Huu muujiza na ushuhuda niliosikia kwa Mwamposa umenistua

Huu muujiza na ushuhuda niliosikia kwa Mwamposa umenistua

imani yako kwa Mungu mwenyezi inapokuw haba ,matokeo yake ni kuaminishwa kinguvu kwa miujiza..
 
Miujiza huwa inatokea ila huu mh, kondoo wenyewe sasa, huwaelezi kitu kuhusu hawa so called "Manabii" sijui wamewabrainwash ama kwasababu haichukui hata akili kubwa kiivo kuona hapa kuna kitu hakipo sawa. Juzi nimeona video kwenye mitandao ya kijamii nabii wa kike anamuombea mtu ana jini mahaba eti anamwambia lia kwa nguvu kidogo akasema tena piga yowe, ajabu na kondoo anapiga duh 🤣
 
Sasa hapo mkuu unaona ni akili ya kawaida hiyo?...utoe hela yote ukose nauli[emoji848]

Yaan we ukiingia humo cha kwanza kabisa unapigwa msasa (juju)...hapo ndo unakuwa ndondocha mazima sasa
Hichi kitu Ni kweli Nahisi juju inahusika Sana sababu mm nawajua Hawa watu Kuna siku nimeingia kanisa flan aina ya hizi kanisa unaona kabsa hata mwili unachange na Unaanza Ku adapt haya mambo so hio Ni kweli kabsa
 
Niwe mkweli jamani mi naangaliaga sana hizi channel zao na kuhudhuria pia....wachaga wamejazana sana kwenye haya makanisa[emoji848]

Sasa sijajua wanapenda sana miujiza au ninini kinawajaza mle!

Wasomi pia wapo si unaona nimetoa mfano wa mdogo wangu, ni msomi lakini na yeye kaishapotea hivo[emoji1745]
Wakristo wanapenda miujiza nadhani ndio kitu pekee chenye kuwafanya waone wapo sahihi kiimani.
 
Unajiona billionaire kumbe mfukoni huna hata 100 nyekundu. Mimi nilijaribu kwenda kanisa moja kudadisi baada ya rafiki kuniconvince sana. Wakawa wanapita kuombea watu kwanza fungeni macho mimi hua sifungi ng'ooo. Mara naona nasukumwa nikasema sianguki sukuma mwingine yupo nyuma anidake nikajikaza mpaka ikabid nijiachie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baadae mchungaji akatangaza kuna wageni humu ndani hawafai kanisani ni watu hatari sana. Nikajua ni mimi tu [emoji38][emoji38][emoji38]
Aaaah kmmke nimecheka Sana
 
Thubutu, mimi kuna mwaka nilianza sali kwa mzee wa upako, mke na watoto wake sikuwahi kuwaona, ni mara moja tu mtoto wake alipohudhuria.
Tena kuna siku kaja sijui ashazimua asubuhi akawa anamsema mke wake kuwa analeta ujinga ujinga, anasema kwanini hafanyi kama makanisa mengine sijui akina ngwajima, akasema hana ushirika na mtu kwenye business ya kanisa lake. Kanisa ni la kwake wala mkewe hausiki. Alikuwa anasema madhabahuni na mkewe hakuwepo sijui walikuwa wametibuana home.
Anasema unakaa na wajinga wenzako huko manasema sema...
Upako yuke Gentleman aninivunjaga mbavu sana,, [emoji23],a standup guy....
 
Yule sijui nabii sibue sijui nani yule anasema uwa wanakutana five star hotels dubai wanagonga champaigne.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ni business nzuri kusema kweli.
Na mimi ningekuwa na kipaji cha kuzungumza ningeanzisha la kwangu la new generation church niende sawa na feel free to worship jesus la masanja
Mkuu we anzisha halafu ajili ma pastor uwalipe kwa mwezi,, utapiga pesa sana
 
Ukiona mtume au mganga anakuambia anatoa utajiri hali ndugu zake ni masikini, ujue wewe ndie fursa
 
Back
Top Bottom