Huu muungano usipodhibitiwa mapema atakuja mtawala mwenye hasira na kuifuta Zanzibar au Bara yote!

Nadhani Samia ameuchoka Urais. Hautaki tena, lakini anaona shida kuwaambia wenzake. Hivyo ameamua kufanya mambo ya kuwaudhi na kuwakera wananchi ili chama chake kikubali asigombee 2025.
Hapana.
Hajauchoka, ingekuwa ameuchoka asingekubali kupokea sifa na utukufu anavyopewa na wateule na machawa
 
Atokee tu kichaa auze yale magugu baharini
 
Atatokea mtu mwenye hasira ataifuta Zanzibar yote kulipa kisasi, au atatokea mtu mwingine kutoka Zanzibar ataifuta Arusha, Moshi na Tanga au Mikoa zaidi ya 10 kwa pamoja tisipoangalia.
Una kitu huenda ulitaka kusema, ila hakijakaa sawa. Hongera sana. Huu muungano ni swala la kisheria na wala sio la kichama au kiutawala. Hakuna, kwa sasa, mamlaka hayo ya kuifuta Zanzibar kutoka popote duniani wachilia mbali Tanzania.

Nimependa umeonesha hisia zako, ila hili la kuifuta Zanzibar linahitaji tafakuri ya kisheria na sio hisia binafsi.

Zawadini
 
Hzo nchi ulizozitaja ni mafala wanaojielewa ndio maana umeona wameendelea na watu wanashobokea wewe fala na GAIDI wa Bonyokwa ,Nyegezi sjui wapi huko ukienda huko na sheria zako za kigaidi wanakukana kweupe.

Nchi kuuzwa sio hadi upewe hela na wewe au unasubiri mgao ndio uamini umeuzwa wewe fala!? No body is safe kaa ukjua hilo na usijibu kwa mihemko.

Nchi zenu ndio zinaongoza kwa huo ushoga hata kanda wanazoishi wavaa kobaz kwa wingi ndio zimeshamiri na ushoga refer, Zenji, Tanga mnajitia mko na imani sjui kali kumbe viande tu na mademu zenu wanafirwa huko Zenji nyie ni madebe matupu msitumbue vibaraka ninyi.
 
Kichwa Hiki hakika Kimejaa mavi kichwani
 
True,
Ongezea hapo:
JK ndiye aligawa gesi YOTE kwa wageni..
 
Hakuna, kwa sasa, mamlaka hayo ya kuifuta Zanzibar kutoka popote duniani wachilia mbali Tanzania.

Nimependa umeonesha hisia zako, ila hili la kuifuta Zanzibar linahitaji tafakuri ya kisheria na sio hisia binafsi.
Kama nyie mliweza "kuifuta" Tanganyika na bado mnaendelea kufuta maeneo ya Bara itashindikana vipi kuifuta Zenji?
 
Sasa why unaongea Kwa hasira,wanaoshabikia ndoa za wasenge hadi kufikia hatua ya kupewa RUKSA ya kufunga ndoa za jinsia Moja Kwa kunogewa na huo mchezo SI mnafahamika??

Hiko kichaka mlikua mnapenda sana kujificha nacho kuwa usenge umeenea mikoa ya pwani,saizi hakipo Tena,uchoko umeenea sehemu zote,Tena kwenu hadi ruksa ya kufunga ndoa mmepewa.,changamkia fursa hiyo naww ukaolewe.
 

Ushoga mnao nyinyi , yaani mpaka mnakuwa na manabii Mashoga ?? Ref Nabii wako Tito
 
Kama nyie mliweza "kuifuta" Tanganyika na bado mnaendelea kufuta maeneo ya Bara itashindikana vipi kuifuta Zenji?
Mkuu nianze kwa kurudia tena kwamba muungano huu ni jambo la kisheria na sio la kisiasa wala kiutawala.

Kama sisi, na sijui unamaanisha ni kwenye kauli hii, tuliweza kuifuta Tanganyika ni kwa sababu tulienda kwenye vipengele vya sheria. Mwandishi yeye amesema siku moja atakuja kiongozi/mtu ataifuta Tanzania. Hili hatolifanya kwa sababu akifanya hivyo, ndio muungano umevunjika.

Sasa mimi nitoe ushsuri: Yule anayetaka huu muungano uvunjike kikwelikweli naamue au atangaze tu kwamba ama Zanzibar imefutwa au Tanzania imefutwa.

Tuacheni kuota ndoto za Alinacha.

Zawadini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…