Huu muungano usipodhibitiwa mapema atakuja mtawala mwenye hasira na kuifuta Zanzibar au Bara yote!

Huu muungano usipodhibitiwa mapema atakuja mtawala mwenye hasira na kuifuta Zanzibar au Bara yote!

Nadhani Samia ameuchoka Urais. Hautaki tena, lakini anaona shida kuwaambia wenzake. Hivyo ameamua kufanya mambo ya kuwaudhi na kuwakera wananchi ili chama chake kikubali asigombee 2025.
Hapana.
Hajauchoka, ingekuwa ameuchoka asingekubali kupokea sifa na utukufu anavyopewa na wateule na machawa
 
Hello!

Neno bara nimeliweka tu kwakuwa halina mbadala ila kwa ukweli neno bara halipo kimamlaka.
Kwa muda mfupi tu tumeona maeneo kadhaa yamefutiwa authority.

Hatujaambiwa kwamba yamefutwa ili yaundwe upya, yamebadilishwa majina au yameunganishwa na maeneo mengine.

Mfutaji ni Waziri wa TAMISEMI MR. MCHENGERWA, ila kwa mujibu wa katiba hana mamlaka ya kufanya hivyo, maana yake ni kwamba amefuta kwa amri ya Rais.

Pia soma: Kuna kero za muungano au muungano ni kero?

Atatokea mtu mwenye hasira ataifuta Zanzibar yote kulipa kisasi, au atatokea mtu mwingine kutoka Zanzibar ataifuta Arusha, Moshi na Tanga au Mikoa zaidi ya 10 kwa pamoja tisipoangalia.

Mtoto huwa anaanza kutest vitu, anagusa kitu halafu anaangalia sura ya mzazi wake ili aone reaction yake. Akiona mzazi ametabasamu anajua this is good akiona mzazi amekunja uso anaacha.

Uzi huu hauko kichama, kama mtu atatoa comment based on his/her political influenza basi huyo ni tahira.
Atokee tu kichaa auze yale magugu baharini
 
Atatokea mtu mwenye hasira ataifuta Zanzibar yote kulipa kisasi, au atatokea mtu mwingine kutoka Zanzibar ataifuta Arusha, Moshi na Tanga au Mikoa zaidi ya 10 kwa pamoja tisipoangalia.
Una kitu huenda ulitaka kusema, ila hakijakaa sawa. Hongera sana. Huu muungano ni swala la kisheria na wala sio la kichama au kiutawala. Hakuna, kwa sasa, mamlaka hayo ya kuifuta Zanzibar kutoka popote duniani wachilia mbali Tanzania.

Nimependa umeonesha hisia zako, ila hili la kuifuta Zanzibar linahitaji tafakuri ya kisheria na sio hisia binafsi.

Zawadini
 
ITS OKAY MIMI NI GAIDI,THEN WEWE SHOGA ULIEPEWA HOLY PERMISSION NA PAPA YA KUOLEWA LISTEN TO ME CAREFULLY NA SALAMA WAFIKISHIE WENZAKO...

MKITAKA MAKAFIRI MUWE NA HOJA YA KUELEWEKA KWANZA MUACHE DOUBLE STANDARD,PILI MUWE WAKWELI KATIKA MNAYOYAZUNGUMZA...

HUWEZI KUJA HAPA NA NGONJERA ZAKO KAMA UNAIMBA KWAYA ZA PAROKIA ETI SAMIA KAUZA NCHI KWA WAARABU KISHA UACHWE HIVI HIVI UMESKIA WEWE NGUCHIRO??HUO MKATABA WA MAUIZIANO UKO WAPI??

NCHI HII INAONGOZWA KWA SHERIA NA TARATIBU,HIZO STORY ZAKO ZA UPAKO PELEKA KWA MWAMPOSA.

NCHI NYINGI ZA MAFALA AMBAZO UNASEMA HAZINA AMANI NA ZINA UGAIDI VITA NA SILAHA MNAUZA NYINYI MAKAFIRI.

AMANI NA VITA SEHEMU YOYOTE ZINATOKEA,,TUNAWAONA KILA SIKU MKISHOBOKEA MARA MNAENDA VACATION DUBAI,MARA QATAR.KUALA LUMPAR NA KADHALIKA...HAO PIA SI UNAMAANISHA NDIYO MAFALA WHY HAKUNA VITA HUKO??

WATU WAKO SERIOUS WANATAKA KUILETEA HII NCHI MAENDELEO NYINYI MNATULETEA STORY ZENU ZA KULA KITI MOTO??ACHENI UPUUZI WENU AISEE...
Hzo nchi ulizozitaja ni mafala wanaojielewa ndio maana umeona wameendelea na watu wanashobokea wewe fala na GAIDI wa Bonyokwa ,Nyegezi sjui wapi huko ukienda huko na sheria zako za kigaidi wanakukana kweupe.

Nchi kuuzwa sio hadi upewe hela na wewe au unasubiri mgao ndio uamini umeuzwa wewe fala!? No body is safe kaa ukjua hilo na usijibu kwa mihemko.

Nchi zenu ndio zinaongoza kwa huo ushoga hata kanda wanazoishi wavaa kobaz kwa wingi ndio zimeshamiri na ushoga refer, Zenji, Tanga mnajitia mko na imani sjui kali kumbe viande tu na mademu zenu wanafirwa huko Zenji nyie ni madebe matupu msitumbue vibaraka ninyi.
 
KWANZA MLIANZA NYINYI MAKAFIRI KUTAKA KUJIMILIKISHA VITU NA RASILIMALI ZA NCHI HII,WEWE ULISKIA WAPI RASILIMALI NCHI HII IPO KARNE NA KARNE ETI KISHA ANAKUJA KAFIR MMOJA ANASEMA MLIMA HUU UMEGUNDULIWA NA DR LIVINGSTONE,..!!

NAJUA MNAUMIA SANA MAKAFIRI NCHI HII KILA MUISLAM AKISHIKA DOLA,SASA HIVI TUTAZUNGUMZA LUGHA MNAYOZUNGUMZA NA BILA SHAKA TUTAELEWANA TUH,SASA HATA KAMA VATICAN WANAITAKA NCHI HII TUNAWAPA VIPI NA WAO HAWANA HELA WANA MISALABA TUH NA SANAMU LA YESU KRISTO??
Kichwa Hiki hakika Kimejaa mavi kichwani
 
Sasa mnaweza?Mwinyi aliuza Loliondo kwa Mwarabu na Samia naye anafuata nyayo hizohizo za kuuza nchi.Sasa msisemwe kama mnafanya mambo ya kipuuzi?
Uyo Kikwete ndiyo aligeuza nchi kuwa pango la walanguzi kuanzia madawa ya kulevya na ufisadi sugu serikalini!
True,
Ongezea hapo:
JK ndiye aligawa gesi YOTE kwa wageni..
 
Hakuna, kwa sasa, mamlaka hayo ya kuifuta Zanzibar kutoka popote duniani wachilia mbali Tanzania.

Nimependa umeonesha hisia zako, ila hili la kuifuta Zanzibar linahitaji tafakuri ya kisheria na sio hisia binafsi.
Kama nyie mliweza "kuifuta" Tanganyika na bado mnaendelea kufuta maeneo ya Bara itashindikana vipi kuifuta Zenji?
 
Hzo nchi ulizozitaja ni mafala wanaojielewa ndio maana umeona wameendelea na watu wanashobokea wewe fala na GAIDI wa Bonyokwa ,Nyegezi sjui wapi huko ukienda huko na sheria zako za kigaidi wanakukana kweupe.

Nchi kuuzwa sio hadi upewe hela na wewe au unasubiri mgao ndio uamini umeuzwa wewe fala!? No body is safe kaa ukjua hilo na usijibu kwa mihemko.

Nchi zenu ndio zinaongoza kwa huo ushoga hata kanda wanazoishi wavaa kobaz kwa wingi ndio zimeshamiri na ushoga refer, Zenji, Tanga mnajitia mko na imani sjui kali kumbe viande tu na mademu zenu wanafirwa huko Zenji nyie ni madebe matupu msitumbue vibaraka ninyi.
Sasa why unaongea Kwa hasira,wanaoshabikia ndoa za wasenge hadi kufikia hatua ya kupewa RUKSA ya kufunga ndoa za jinsia Moja Kwa kunogewa na huo mchezo SI mnafahamika??

Hiko kichaka mlikua mnapenda sana kujificha nacho kuwa usenge umeenea mikoa ya pwani,saizi hakipo Tena,uchoko umeenea sehemu zote,Tena kwenu hadi ruksa ya kufunga ndoa mmepewa.,changamkia fursa hiyo naww ukaolewe.
 
Hzo nchi ulizozitaja ni mafala wanaojielewa ndio maana umeona wameendelea na watu wanashobokea wewe fala na GAIDI wa Bonyokwa ,Nyegezi sjui wapi huko ukienda huko na sheria zako za kigaidi wanakukana kweupe.

Nchi kuuzwa sio hadi upewe hela na wewe au unasubiri mgao ndio uamini umeuzwa wewe fala!? No body is safe kaa ukjua hilo na usijibu kwa mihemko.

Nchi zenu ndio zinaongoza kwa huo ushoga hata kanda wanazoishi wavaa kobaz kwa wingi ndio zimeshamiri na ushoga refer, Zenji, Tanga mnajitia mko na imani sjui kali kumbe viande tu na mademu zenu wanafirwa huko Zenji nyie ni madebe matupu msitumbue vibaraka ninyi.

Ushoga mnao nyinyi , yaani mpaka mnakuwa na manabii Mashoga ?? Ref Nabii wako Tito
 
Kama nyie mliweza "kuifuta" Tanganyika na bado mnaendelea kufuta maeneo ya Bara itashindikana vipi kuifuta Zenji?
Mkuu nianze kwa kurudia tena kwamba muungano huu ni jambo la kisheria na sio la kisiasa wala kiutawala.

Kama sisi, na sijui unamaanisha ni kwenye kauli hii, tuliweza kuifuta Tanganyika ni kwa sababu tulienda kwenye vipengele vya sheria. Mwandishi yeye amesema siku moja atakuja kiongozi/mtu ataifuta Tanzania. Hili hatolifanya kwa sababu akifanya hivyo, ndio muungano umevunjika.

Sasa mimi nitoe ushsuri: Yule anayetaka huu muungano uvunjike kikwelikweli naamue au atangaze tu kwamba ama Zanzibar imefutwa au Tanzania imefutwa.

Tuacheni kuota ndoto za Alinacha.

Zawadini
 
Back
Top Bottom