Huu muungano wannchi hatukuulizwa , waliungana viongozi na sio wananchi

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,843
Reaction score
35,442
Tangazo
La muungano lilifanyika usiku wa manane na hakuna mwananchi alishirikishwa na tunachoomba ipitishwe kura ya maoni pande zote nchi ya Tanganyika na Nchi ya Zanzibar wananchi tupige kura ya wazi ili tuweze kusonga mbele.
Mambo ya kukaa viongozi wawili ati ni muungano hapana.
 
Hicho kisiwa ni mali ya tanganyika
Hivi mwarabu alivyokuja hapo
Aliwakuta wakina nani???
Au ndoyo alikikuta kisiwa cheupe

Ova
 
imetoka hiyo, hakuna wa kuvunja muungano, kura za wazi zikipigwa muungano utakufa, raia wengi hawauelewi na hawautaki kutokana na zanzibar kuonekana kufaidika peke yake
 
Hicho kisiwa ni mali ya tanganyika
Hivi mwarabu alivyokuja hapo
Aliwakuta wakina nani???
Au ndoyo alikikuta kisiwa cheupe

Ova
Aliwakuta watumbatu na wamatumbi
 
Unadhani kwa viongozi wako itapatikana kura ya kuvunja Muungano?
Tangazo
La muungano lilifanyika usiku wa manane na hakuna mwananchi alishirikishwa na tunachoomba ipitishwe kura ya maoni pande zote nchi ya Tanganyika na Nchi ya Zanzibar wananchi tupige kura ya wazi ili tuweze kusonga mbele.
Mambo ya kukaa viongozi wawili ati ni muungano hapana.
 
Tangazo
La muungano lilifanyika usiku wa manane na hakuna mwananchi alishirikishwa na tunachoomba ipitishwe kura ya maoni pande zote nchi ya Tanganyika na Nchi ya Zanzibar wananchi tupige kura ya wazi ili tuweze kusonga mbele.
Mambo ya kukaa viongozi wawili ati ni muungano hapana.
mkuu muungano wa baba yako na mama yako uliulizwa
siyo kila kitu lazima uulizwe
kwanza ulikuwepo
sema kuna mapungufu
 
Back
Top Bottom