imetoka hiyo, hakuna wa kuvunja muungano, kura za wazi zikipigwa muungano utakufa, raia wengi hawauelewi na hawautaki kutokana na zanzibar kuonekana kufaidika peke yakeTangazo
La muungano lilifanyika usiku wa manane na hakuna mwananchi alishirikishwa na tunachoomba ipitishwe kura ya maoni pande zote nchi ya Tanganyika na Nchi ya Zanzibar wananchi tupige kura ya wazi ili tuweze kusonga mbele.
Mambo ya kukaa viongozi wawili ati ni muungano hapana.
Aliwakuta watumbatu na wamatumbiHicho kisiwa ni mali ya tanganyika
Hivi mwarabu alivyokuja hapo
Aliwakuta wakina nani???
Au ndoyo alikikuta kisiwa cheupe
Ova
Tangazo
La muungano lilifanyika usiku wa manane na hakuna mwananchi alishirikishwa na tunachoomba ipitishwe kura ya maoni pande zote nchi ya Tanganyika na Nchi ya Zanzibar wananchi tupige kura ya wazi ili tuweze kusonga mbele.
Mambo ya kukaa viongozi wawili ati ni muungano hapana.
mkuu muungano wa baba yako na mama yako uliulizwaTangazo
La muungano lilifanyika usiku wa manane na hakuna mwananchi alishirikishwa na tunachoomba ipitishwe kura ya maoni pande zote nchi ya Tanganyika na Nchi ya Zanzibar wananchi tupige kura ya wazi ili tuweze kusonga mbele.
Mambo ya kukaa viongozi wawili ati ni muungano hapana.
Hahaha Hakuna namna