ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Mtoa mada jibu hio challenge hapoYani tuache kumsikiliza Prof Shivji tukusikilize Wewe?!!
Mkapa aliua viwanda vyote MTU wenye Akili timamu hawezi kutoa mfano mmbovu namna hii.. angalia vile Tanganyika Packers,Urafiki, n.k vimebaki magofu!! Kwasababu ya ubinafsishaji
Tukija kwenye sekta ya mabenki wanaomiliki hisa Ni serikali na watanzania Kwa kiasi kikubwa.. hili la D.P world limekaaje?..