Huu mwaka 2023 kuna watu bado wanamsikiliza Issa Shivji?

Mtoa mada jibu hio challenge hapo
 
Habari, karibuni katika andiko langu la stories of Change 2023
 
We kweli unaakili, vitabu vyote vya Sheria tangy 1972 mpaka vya Leo viko kichwa tusimini tukuamini wewe na wakina kitenge,zembwela,Steve nyenyere,msukuma na lusinde kweli ebu tuache usituchoshe
 
Usisahau sheria ya ardhi ilitungwa kipumbafu mno kwa kuwagawa Watanzani katika makundi mabwana ma watanwa. Land Act ni ya mabwana, hati zake huitwa Certificate of Occupancy. Village Land Act, ya makabwela watanwa. Miliki yake huitwa Hati ya Kimila (no English translation) na haiku aliki kukopea benki.

Swali wanajiuliza ni kwa nini nchi moja iwe na sheria 2 za ardhi yake?

Huyu wala siyo Professor ni mwanaharakati wa Karl Marx na Vladmir Lenin. Hana kitabu chenye hadhi ya Profesa wa sheria, badala yake kaandika THE CLASS STRUGGLE IN TANZANIA na kingine BLOODSUCKING CONTRACTS.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…