Huu mwaka 2023 kuna watu bado wanamsikiliza Issa Shivji?

Umelipwa sh ngapi?
 
Hoja zako hazipo wazi. Jibu vitu alivyoweka mezani. Usimshambulie mtu shambulia hoja
 
Umelipwa sh ngapi?
 
Profesa Shivji ni miongoni mwa maprofesa wengi tu nisioelewa umuhimu wao hapa Tanzania. Sijawahi ona impact ya maana ya maprofesa wetu zaidi ya kutuzalishia wafanyakazi wezi na mafisadi tu. Siamini katika communist.
Umelipwa sh ngapi?
 
Duh. Kwa kujuwa mambo wewe, unatisha.
 
Yani tuache kumsikiliza Prof Shivji tukusikilize Wewe?!!

Mkapa aliua viwanda vyote MTU wenye Akili timamu hawezi kutoa mfano mmbovu namna hii.. angalia vile Tanganyika Packers,Urafiki, n.k vimebaki magofu!! Kwasababu ya ubinafsishaji

Tukija kwenye sekta ya mabenki wanaomiliki hisa Ni serikali na watanzania Kwa kiasi kikubwa.. hili la D.P world limekaaje?..
 
Mtoa Mada
Umeacha kuzungumzia mada kuu ya Shivji badala yake umeingia katika benki benki benki. Shivji aligusia tu suala la benki kama by the way
Wewe hujasoma mada na hoja ya shivji aau hujaelewa ndio maana unamropokea tu personal attack
 
Jungu kuu halikosi ukoko!
Hata kama hukubaliani na mitazamo yake, ukimfuatilia, hutakosa hoja zenye mashiko. Ni jungu kuu, ukidhubutu kuuendea, huwezi kukosa "ukoko" wa kupoozea njaa.
 
As regards an Article by Emeritus Prof. Issa Shivji titled Abolition of Public Interest Litigation, we do agree with the Respondent that, much as we respect the views of our highly respected Prof. Issa Shivji, though distinctly argued, the same have no binding effect before this Court. Indeed, We regret to observe that, Prof. Shivji erred on two important issues; one, is the fact that the amendment to the BRADEA was made by Written Laws (Miscellaneous Amendments) Act and specifically aimed to amend the BRADEA and other laws and not the Constitution, and two; we are compelled to believe that Prof. Shivji was in forgetfulness that the procedure under which the Parliament may alter the Constitution is provided under Article 98 of the Constitution and the same may be effected by an Act of Parliament save the quorum of Parliament when is passing the amendment is different from ordinary Act of Parliament. Also, it is necessary to take into account 43 that the amendment of BRADEA was not initiated under Article 98 o f the Constitution (supra) and thus, his view on the amendment to overrule the court's decision is mi—appreciation on the parliamentary supremacy in legislation.
 
Utashukudia timu ya wanauchu itakavyoangushwa vibaya. Maandiko yanasema, kuwa Mungu amechagua vinyonge viangushe vyenye nguvu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…