Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Kitu kinatukwamisha ni kukojoa kila mahali, wakuu kama una hustle hakikisha unakojoa sehemu moja yenye neema. Ikiwezekana usikojoe popote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Broza...nina feel hiyo hali.Biashara zinachangamoto sana aisee, ila sema nilipata mafunzo mengi kutokana na jambo hilo lililonipata
Daah hayo majira yatafika lini aisee naelekea middle 30 sasa, nachanganyikiwa
Nmemuelewaa piaNakuelewa vizuri kabisa
I'li mradi ulifunguaa ofisi hayo n mafanikio makubwa..mm Kuna wazo huwaga nko nalo moyoni huu mwaka 4 nafkiria kufungua kaofisi flan nashindwa..n kama Kuna nguvu flan inanizuia..Ila nmekuja kugunduaa ukiwa na Ajira sometyms unaishi kwenye comfort zone sana..Mkuu mwaka huu hujafeli..m nakuambia!umejifunzaaOfisi ililenga kufanya kazi na maofisi mengine kwa kupata tender kutoka kwao. Ndio nikajifunza kumbe hata kupata tender kwenye maofisi inabidi utoe pesa[emoji848]uwahonge mameneja wa ofisi husika. Mfano moja ya shughuli ofisi yangu ilikua inafanya ni kufanya Computer network installation kwa maofisi au makampuni mapya. Ili uCompete na wakongwe wa hii kazi inabidi ukahonge sasa. Kwa mie kijana bado najipambania nikatema ndoano maana uchumi hauruhusu. Mapka leo mavifaa nimefungia chumbani [emoji17]
Ahsante sana kwa nasaha zako mkuu, kwakweli nimejifunza mengi kupitia jambo hilo. Ila nasubiria kwa hamu nami huo wakati wa neema. Will try to stay strong 💪 as you advisedBroza...nina feel hiyo hali.
Mimi pia nilipambana sana sana.
Niliangukia pua mara nyingi mnoo.
But kuangukohuko kulinipa mafunzo, uvumilivu na uzoefu.
Ukaja wakati ambao siogopi kuanguka...hatimaye niko imara mnoo katika kutafuta.
Kuna nyakati sasa zinatokeaga pesa zinakusaka usiku na mnana.
Unapigiwa simu kupewa fursa au kuitiwa kazi...unaweza kukuta zaidi ya mwaka unaogelea neema, pesa na fursa mpya kila siku.
Baada ya hapo huja nyakati ngumu, kila ufanyalo linatoa matokeo HASI.
Jambo muhimu kuwa imara Davinci.
Mimi binafsi nina ushuhuda mkubwa kutokana na mapito na kufanikiwa pia.
Kuwa imara siku zote
Bora nyie mnaajira zinazoeleweka. Kama ni permanent tulia tu huko biashara zina stress balaa. Sitasahau stress nilizopitia from FebruaryI'li mradi ulifunguaa ofisi hayo n mafanikio makubwa..mm Kuna wazo huwaga nko nalo moyoni huu mwaka 4 nafkiria kufungua kaofisi flan nashindwa..n kama Kuna nguvu flan inanizuia..Ila nmekuja kugunduaa ukiwa na Ajira sometyms unaishi kwenye comfort zone sana..Mkuu mwaka huu hujafeli..m nakuambia!umejifunzaa
Usikate tamaa.Ahsante sana kwa nasaha zako mkuu, kwakweli nimejifunza mengi kupitia jambo hilo. Ila nasubiria kwa hamu nami huo wakati wa neema. Will try to stay strong 💪 as you advised
Katika kosa ambalo siwezi kulifanya ni kujaribu kujitoa kwenye utumwa wa umasikini nikajiingiza kwenye UTUMWA WA NDUMBA.Moja ya vitu nilivyojifunza ni kutokufanya mambo yaliyo kwemye taaluma yako pekee. Kingine ndumba na pesa za kutosha kwenye biashara ni muhimu sana. I wish kufunguka zaid but naona nitakua najianika zaid
Hio nilijua nilivo anza busness jama mwenyeji wang wa bussness akasema inabid nikupeleke kwa mtaalamu niliogopa sana nakuona jama haja starsbika😂😂Moja ya vitu nilivyojifunza ni kutokufanya mambo yaliyo kwemye taaluma yako pekee. Kingine ndumba na pesa za kutosha kwenye biashara ni muhimu sana. I wish kufunguka zaid but naona nitakua najianika zaid
👊 pamoja brotherKatika kosa ambalo siwezi kulifanya ni kujaribu kujitoa kwenye utumwa wa umaaikini nikajiingiza kwenye UTUMWA WA NFUMBA.
Ndumba ni sawa na nguo ya kuazma, nguo ya kuazima ina masharti ipo siku inarudi kwa mwenyewe.
Bora nichelewe kuyqfikia mafanikio makubwa kuliko kurahisishiwa na NDUMBA
Huyu ni mimi
Hakika 2024 ikawe yenye heriHuu mwaka ulikua mgumu sana lakin it was a Gods plan
i was laid Off kwenye kampuni X it was suddenly nilichagawa
Same time Mpenzi nilie taka muoa mwakan Baada ya 6 years of dating akanibwaga nae ,Was Hella disappointing
nikasema siendi tena kusaka kaz naenda kufanya bussness /Buying & sellin/ kuku na mayai
basi mwanzo uulikua mgumu sana ,yani mgumu sana niggas You kno what am saying ?? biashara bongo ni ngumu sana first round nilifanya busness na jama sio muaminifu ,it broke my heart lakin i ddn stop
lkn nilibeba msalaba kijana nikasema nakoma na ndoto zangu mabegan
Now nahis nafuu ya hapa na pale najipanga 2024
So Same you guys Dont give up
AmenHakika 2024 ikawe yenye heri
Mkuu ukiwa na muda naomba unipm. Unaweza kunifaa kimawazo, maana kunajambo nishalitimba tena hapa nataka nilianzishe JanuaryKatika kosa ambalo siwezi kulifanya ni kujaribu kujitoa kwenye utumwa wa umasikini nikajiingiza kwenye UTUMWA WA NDUMBA.
Ndumba ni sawa na nguo ya kuazima, nguo ya kuazima ina masharti ipo siku inarudi kwa mwenyewe.
Bora nichelewe kuyafikia mafanikio makubwa kuliko kurahisishiwa na NDUMBA
Huyu ni mimi
Hata mimi nataka tuwasilianeMkuu ukiwa na muda naomba unipm. Unaweza kunifaa kimawazo, maana kunajambo nishalitimba tena hapa nataka nilianzishe January
Wewe mzee mwenzangu acha huu ufala wa kuwaza uko mid 30. Kikubwa ni kupambana, haya masuala ya umri ni kujiondolea focus tu. Yaani unapambana na maisha huku unapambana na mshale wa saa!! Utachoka sana. Wanadamu tunapambana, tunarekebisha njia za mapambano, then tunamuachia Mungu apitishe hukumu yake.Biashara zinachangamoto sana aisee, ila sema nilipata mafunzo mengi kutokana na jambo hilo lililonipata
Daah hayo majira yatafika lini aisee naelekea middle 30 sasa, nachanganyikiwa
Una akili mkuu, inaonyesha u mpambanajiWewe mzee mwenzangu acha huu ufala wa kuwaza uko mid 30. Kikubwa ni kupambana, haya masuala ya umri ni kujiondolea focus tu. Yaani unapambana na maisha huku unapambana na mshale wa saa!! Utachoka sana. Wanadamu tunapambana, tunarekebisha njia za mapambano, then tunamuachia Mungu apitishe hukumu yake.
ajabu ya mapambano, unaweza fanya makubwa ndani ya siku 7, yakazidi uliyoyafanya ndani ya miaka 20. Na unaweza fanya makubwa kwa miaka 20, na yote yakapotea ndani ya siku 7 tu.