Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Umenichana mkuu kwa point kuntu. Ahsante kwa kunikumbusha but kiukwel mimi bado niko Early 20🏃🏃🏃Wewe mzee mwenzangu acha huu ufala wa kuwaza uko mid 30. Kikubwa ni kupambana, haya masuala ya umri ni kujiondolea focus tu. Yaani unapambana na maisha huku unapambana na mshale wa saa!! Utachoka sana. Wanadamu tunapambana, tunarekebisha njia za mapambano, then tunamuachia Mungu apitishe hukumu yake.
ajabu ya mapambano, unaweza fanya makubwa ndani ya siku 7, yakazidi uliyoyafanya ndani ya miaka 20. Na unaweza fanya makubwa kwa miaka 20, na yote yakapotea ndani ya siku 7 tu.