Huu mwaka 2023 nakubali nimekwama

Umenichana mkuu kwa point kuntu. Ahsante kwa kunikumbusha but kiukwel mimi bado niko Early 20πŸƒπŸƒπŸƒ
 
Nilifanikiwa kufungua ofisi niliyokua naitamani kipindi chote cha maisha yangu. Ila ilikufa kiajabu sana mpaka sasa sina hamu[emoji17]
Success means failing many times..
 
Una akili mkuu, inaonyesha u mpambanaji
Ukiwa mwanaume duniani hapa unategemewa kuhudumia tu. Ndio maana tunapaswa tulinde sana afya zetu. Ogopa sana una mambo unapaswa kufanya, halafu mwili unagoma. Chanzo?, ulikuwa tungi ukapata ajali. Kama vikwazo, acha Mungu mwenyewe avilete, na si vya kutafuta.
 
Kweli bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…