Huu mwaka 2026 ni kama umekwisha umefanya nini cha maana ukikitazama unajivunia?

Huu mwaka 2026 ni kama umekwisha umefanya nini cha maana ukikitazama unajivunia?

Zimebaki siku chache sana mwaka 2026 uishe je umefanya nini cha maana ukikitazama unajivunia na kufurahia?

mimi binafsi plan zangu zimetimia kwa at least 30%

View attachment 3691545

#Welcome 2027
Nitaumaliza kwa madeni na kuuanza tena kwa madeni.sijafanya lolote zaidi ya kudaiwa karo za watoto na sasa nafikiria kukauza la raum kangu.
 
mafanikio bila Mungu sio mafanikio
 

Attachments

  • FB_IMG_1792052371345.jpg
    FB_IMG_1792052371345.jpg
    78.9 KB · Views: 9
Alhamdullilah 🤲 Sina cha kumpa huyuu Mungu ila shukran uzima na afya bora

Huu mwaka umekua wenye Neema kwangu na Baraka teleee ulianza vibaya ila ghaflaaa Namaliza kwa shangweeee

Japo kuna vikwazo vidogovidogo ila Neema na Baraka zimetawala

Allahumma amiiin
 
Just for inspiration
Tuanze kama Taifa tumefanya nini cha maana kuweka KESHO nzuri ya watoto na familia zetu. Hapa;-
(a) mamlaka imeweza kufika viwango?
(b) Wananchi mmoja mmoja wametimiza wajibu wao?
(c) Taasisi mbalimbali zimetimiza wajibu na changamoto ni zipi?
Kwa kujikita katika vipengere hivi 3 tutakua tumeitendea haki mada
 
Back
Top Bottom