MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,232
- 152,252
😁😁😁,Bado eeh,ukianza kuanikwa juani kama mpunga utatubu🤣🤣🤣🤣Bado mm sio mwenye dhambi 😂
Hakika huyu mama amekwamisha mambo mengi...Kila nikifikiria tunaongozw ana hayawani...duuuhNimeshindwa kutimiza malengo yangu sababu sa100 kanikwamisha kwa sababu anaongoza nchi vibaya.Mwaka ujao lazima tumung'oe hata kwa nguvu ili wananchi tutimize malengo tuliyojiwekea.
Najua siwezi jua ila 70yrs inatosha aseeh na ninaomba nisizaliwe tena kama dunia itakuja kupinduka 😂😁😁😁,Bado eeh,ukianza kuanikwa juani kama mpunga utatubu🤣🤣🤣🤣
Babu yangu kafa mwaka huu alikuwa ana 107yrs,alikuwa ananiambia ujue nilikuwa na nguvu sana,nilikuwa kijana, Leo hii nabebwa😁
😂😂😂😁😁😁😁😁😁,jamani wifi mie nimesema,🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️
😁😁😁Ikipinduka utazaliwa ulaya😁Najua siwezi jua ila 70yrs inatosha aseeh na ninaomba nisizaliwe tena kama dunia itakuja kupinduka 😂
Naona umeamua kutusema kwa mafumbo bintiMe Bado sana,humu Kuna watu nilikuwa nawasoma tokea nipo sec lkn Hadi Leo wanajifanya watoto🙌 jf bhana.
Hii nilitaka kusema... upo kama mimi mkuu...Najivunia kuacha pombe kitu ambacho nilishindwa mara nyingi kufanya hivyo.
Nyinyi hamjaacha ila mmesitisha kwa muda..Hii nilitaka kusema... upo kama mimi mkuu...
hahahaha, sijajua kwakwel hata ulaya sihitaji 😂😆😁😁😁Ikipinduka utazaliwa ulaya😁
Sifa na utukufu kwa MUNGU 🙏🤭hongera mamaa