Gari Moshi
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 680
- 421
Mkuu uwezi fanya kitu cha maendeleo bila kupata changamoto acha kuwa na ubongo mfu wewe.
Ugumu wa maisha sio kipimo cha akili acha kuishi na misemo ilokufa
Kuna mjinga mmoja ange muachia mtoto na awahi msuli...teh[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
You know nothing bout lifeOkay, kwakifupi sana labda niseme tu kwamba sijafikia kuwa na ugumu wa maisha.
Ahsante
Sent using Jamii Forums mobile app
You has a broad range of application from being slow of mind indicating a lack of intelligence, care or reason dullness of feeling or sensation torpidity, senseless, insensitivity or lacking interest or point vexing, exasperating.You know nothing bout life
Let me gives you some little lesson...Total rubbish, usiishi kwa kukariri
Pole sana mh mjumbe kwa kudondokewa na msuli, kila jambo lina faida yake, jiandae kuvuna matunda ya msuli kujibwaga chiniWakuu, siku ya leo haikuwa mbaya sana. Wote tuliamka salama na baada ya wife kunichemshia maji ya kuoga kwenye kuni basi akawa pale uwani anafua vikanga vya mkojo alivyo tumia usiku uliopita.
Baada ya kunitia viungo kwenye maji ya kuoga, basi nika karibishwa nikaoge kama kawaida.
Mzee kama kawaida nikajifunga msuli na nikachukuwa mswaki wangu wa mti, huyoooo nikatoka nje ili nikakoge.
Nilipo toka nje pale uwani palikuwa na wamama kama wenne wengine wapangaji wenzetu, walikuwa wanafanya kazi za hapa na pale, kama kawaida nikawasabahi na kisha nikamchukuwa mtoto wetu mdogo aliekuwa anacheza pembeni ya mama yake na nikawa kidogo nacheza nae huku nikimrusha juu na tukifurahi kwa pamoja.
Lahaula....Mara paap, msuli ukadondoka chini na wakati huo mtoto alikuwa hewani nimemrusha juu. Wakuu hapa kidogo nilichanganyikiwa maana wale wamama nao walianza kupiga kelele na wengine wakakimbilia ndani na mmoja yeye naona alisimama na akawa ananiangalia zaidi kuanzia maeneo ya kiunoni kushuka chini.
Baada ya kelele ile, ndipo wife akakimbia chap kuja kuniokotea msuli na kunihifadhi wallah.
Dahhh.....
Leo nimeaibika sana, ingawa kuna huyu mama mpangaji mwenzetu ambae alikomaa kunitizama saizi naona kila tukikutana anatabasamu tu, sasa sijui bado ananicheka ama ananifurahia...!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante kwa kunitia moyo mh mjumbe, hapa naona huyu mama ambae hakukimbia ndani akizidisha tu tabasamu kila tunapo pishana kwenye kikoridoPole sana mh mjumbe kwa kudondokewa na msuli, kila jambo lina faida yake, jiandae kuvuna matunda ya msuli kujibwaga chini
Dahhh.....Jina lako linashabihisha uhalisia wako ulivyo
Hapana mkuu
"""""""""teh...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana mkuu
Inaonesha wewe ni mpenda utani Sana
...akawa pale uwani anafua vikanga vya mkojo alivyo tumia usiku uliopita...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingekuwa ni wewe, Ungedaka mtoto ama ungewahi msuli?Huu ni udhalilishaji?
Huwezi ficha mapungufu ya mkeo unatangazia dunia anafua kanga za mikojo ya usiku!
Au wewe ndio unakojolea vikanga?
Ile tabia nilisha iacha mh mjumbe...teh[emoji23][emoji23]Unakumbuka nilipokuonya ile tabia yako ya kuvaa msuli kisha unaruka SAMASOTI mchana kweupee? Ttz lako mbishi!
Sent using Jamii Forums mobile app