Huu mwaka ni wa kula Bata tu

Huu mwaka ni wa kula Bata tu

Dogo tafuta hela mwaka mmoja tu ushapiga yowe.

Mwanaume usipo kuwa na hela utaolewa, utavuliwa ubingwa mapema sana.

Mwanaume kaumbiwa mateso,na mateso ndo furaha ya mwanaume.Hizo bata ni sehemu ndogo sana katika maisha ya mwanaume.

#Rudi kundini acha ujinga,toka nje kazisake pesa!
 
Mzee sio kwamba sitafuti pesa, pesa natafuta na ninazipata, ila invest sana kwenye kujiburudisha kuliko ku save .

Ifike mahali tu enjoy maisha
 
Suffering today doesn't guarantee a better tomorrow. Enjoy your life to the fullest.

Tomorrow never comes.

Future is an illusion.
 
Mzee sio kwamba sitafuti pesa, pesa natafuta na ninazipata, ila invest sana kwenye kujiburudisha kuliko ku save .

Ifike mahali tu enjoy maisha
Badili upepo kula kidogo wekeza sana, maisha ni kamari. Bora uwekeze ufe uziache kuliko uzile alafu ukute ulikadiriwa uishi miaka 90 itakuwa ni hasara na majuto juu ya majuto🤝kufika huko uzeeni apeche alolo.

Mimi huwa naamini huwezi kufika mwisho wa bata/ starehe na ndio maana akina Pididy na matajiri wengi kwa kutokujua hili wameishia kuwa mpaka mashoga maana ukifanya sana starehe unafika wakati unakinai unaanza kutafuta starehe mpya na hivyo ndivyo wasanii wanaingia kwenye USHOGA na MADAWA.

Zamani wakati najitafuta kuna vitu nilikuwa natamani sana kuvifanya,kula,kunywa na kutembelea ila baadae nimevifanya na nimevizoea some of them niliacha sikuvitekeleza, huwa naona ni mambo ya kupita tu nasi ya kuyawazia sana. Ila kuvifanya nimefanya sana hunidanganyi kitu.Most of my fantacies nimezimaliza na nimeamua kutulia.

So kijana fanya utimize fantacies zako ila kwa steps maana hizi huwa nyingine ni hatari na nyingine inabidi uziache tu zibaki kama zilivyo bila kuzitekeleza ili kujikinga na mkono wa sheria ila pia kuepuka majuto na hasara mbele ya safari🙏
 
Back
Top Bottom