Mimba Huwa ni chapu sanaKwanini😀
Mzee sio kwamba sitafuti pesa, pesa natafuta na ninazipata, ila invest sana kwenye kujiburudisha kuliko ku save .Dogo tafuta hela mwaka mmoja tu ushapiga yowe.
Mwanaume usipo kuwa na hela utaolewa, utavuliwa ubingwa mapema sana.
Mwanaume kaumbiwa mateso,na mateso ndo furaha ya mwanaume.Hizo bata ni sehemu ndogo sana katika maisha ya mwanaume.
#Rudi kundini acha ujinga,toka nje kazisake pesa!
Chuchu za kunyonya
Badili upepo kula kidogo wekeza sana, maisha ni kamari. Bora uwekeze ufe uziache kuliko uzile alafu ukute ulikadiriwa uishi miaka 90 itakuwa ni hasara na majuto juu ya majuto🤝kufika huko uzeeni apeche alolo.Mzee sio kwamba sitafuti pesa, pesa natafuta na ninazipata, ila invest sana kwenye kujiburudisha kuliko ku save .
Ifike mahali tu enjoy maisha