Note Kwa Sasa BRT inabeba abiria laki mbili kwa siku..wenyewe wanabrag na hiyo train yenye kubeba watu elfu 40Eti BRT haiwezi kusaidia [emoji23]
Tatizo serikali yenu inawaogopa wamiliki wa matatu kingine miundombinu yenu mmejenga kizamani sana
Hivi si Dar es salaam ndio jiji lenye watu wengi kuliko Nairobi?
Ujenzi wa BRT awamu ya pili Mbagala unaelekea kumalizika,
Pia awamu ya tatu ipo njiani kuanza,
Nyie endeleeni na sizitaki mbichi hizi.
Huyo ni 3 level interchange lete kama hiyo kutoka Kenya.
Without brt system msije sema hatukuwaambia tena zenu zimejengwa zimepinda pinda nyingine zimejengwa zimekuwa vumbi tupu kama road za uganda.
Send by APOLO 1
Hivi ni lazima tujilinganishe na Kenya? Kwanini tusijilinganishe na Dubai, Seoul, Washington DC nk?
Ukitaka kukua, tembea na wakubwa.
Soma comments za wakenya wenzake [emoji23]Note Kwa Sasa BRT inabeba abiria laki mbili kwa siku..wenyewe wanabrag na hiyo train yenye kubeba watu elfu 40
Hongereni kwa huu UTOPOLO
View attachment 1465437
Kwa hiyo mipango yenu na akili zenu mbovu za kudharau BRT, 4 times 41,000=164000 Hii haitaweza kuifikia ata phase I ya BRT ambayo inabeba zaidi ya abiria lakimbili kwa siku..tuliunganisha na phase III nafikiri watafika abiria 1000 kwa sikunani amesema hakuna?
lakini Dar its only 30kms na inabebaba 9000 commuters only kwa siku...
Ilhali Nairobi commuter Rail ni 100kms inabeba 41000 commuters daily...
Unaona kwa nini mipango ya Nairobi ni ya railway....BRT ni kurudi nyuma hapa kwetu
Lakini labda nyinyi mna mipango mingine... kila nchi na shida zake...
Hapa Nairobi BRT haiwezi saidia....
Nairobi si Nairobi City tu,Eti BRT haiwezi kusaidia [emoji23]
Tatizo serikali yenu inawaogopa wamiliki wa matatu kingine miundombinu yenu mmejenga kizamani sana
Hivi si Dar es salaam ndio jiji lenye watu wengi kuliko Nairobi?
Ujenzi wa BRT awamu ya pili Mbagala unaelekea kumalizika,
Pia awamu ya tatu ipo njiani kuanza,
Nyie endeleeni na sizitaki mbichi hizi.
Mass transit..Mnachekesha Sana nyieNairobi si Nairobi City tu,
Kuna Nairobi Metropolitan area, Kikuyu, Thika, Rongai, Kitengela, Kiambu , Mlolongo ... that has a population of over 11,000,000 people..
System ya mass transit lazima ishughulikie maeneo haya ambayo ni kama "bed-room" ya Nairobi...
Dar iko na watu 6m ..
Kwa hiyo mipango yenu na akili zenu mbovu za kudharau BRT, 4 times 41,000=164000 Hii haitaweza kuifikia ata phase I ya BRT ambayo inabeba zaidi ya abiria lakimbili kwa siku..tuliunganisha na phase III nafikiri watafika abiria 1000 kwa sikuView attachment 1466045
PoliticsHiyo phase 1 already railway ipo, kazi ni kuongeza coaches... phase 1 ilikuwa "revamping"... the Nairobi railway commuter service is many years older than your BRT kaka.
Phase 2 and 3 ndiyo kazi iko kaka...
Endelea kuruka ruka.Nairobi si Nairobi City tu,
Kuna Nairobi Metropolitan area, Kikuyu, Thika, Rongai, Kitengela, Kiambu , Mlolongo ... that has a population of over 11,000,000 people..
System ya mass transit lazima ishughulikie maeneo haya ambayo ni kama "bed-room" ya Nairobi...
Dar iko na watu 6m ..
[/QUOTE]I dare you to show me just one BRT that was done 20 years ago, in Kenya.
View attachment 1466060View attachment 1466063Hiyo kitu moja tu ndio inafanya mupayuke ivyo?., [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nairobi na Dar cannot be mentioned on the same sentence, Dar ni coastal city, comparable to Mombasa in Kenya. Nairobi hamtoshi, nikujikweza hua mnajaribu na vipicha vile vile angle tofauti., kwingine 80% ni balaa
Sijui ni barabara gani unaweza compare kati ya hii na moja ya huko Kenya.Kuhusu project za TZ ubungo flyover na ubora wake tofauti na za Kenya zilizo jengwa kwa kupangwa matofari tena zikiwa zime pinda pinda.
The only picture we have seen a few years ago. Kuna picha ingine ya barabara za dar ama ni hii pekee?Kinatofauti gani hapo
View attachment 1465758
Na njaa kenya ilianza lini? 20 years ago au?
Acha ubishi treni hizo zimeanza kutumika wakati Wa raisi kikwete kwa reli ya tazara ila magufuli kafanya reli zote 3 ziwe na commuter hapo tupo mbele yenu kwa sababu tuna mfumo Wa reli 3 tzI need the recent one not 2018 article. Show me the schedule of 2020