Trubarg
JF-Expert Member
- Jan 8, 2020
- 4,388
- 7,223
Note Kwa Sasa BRT inabeba abiria laki mbili kwa siku..wenyewe wanabrag na hiyo train yenye kubeba watu elfu 40Eti BRT haiwezi kusaidia [emoji23]
Tatizo serikali yenu inawaogopa wamiliki wa matatu kingine miundombinu yenu mmejenga kizamani sana
Hivi si Dar es salaam ndio jiji lenye watu wengi kuliko Nairobi?
Ujenzi wa BRT awamu ya pili Mbagala unaelekea kumalizika,
Pia awamu ya tatu ipo njiani kuanza,
Nyie endeleeni na sizitaki mbichi hizi.