Huu mwaka tuliwaambia Wakenya

Huu mwaka tuliwaambia Wakenya

Eti BRT haiwezi kusaidia [emoji23]

Tatizo serikali yenu inawaogopa wamiliki wa matatu kingine miundombinu yenu mmejenga kizamani sana

Hivi si Dar es salaam ndio jiji lenye watu wengi kuliko Nairobi?

Ujenzi wa BRT awamu ya pili Mbagala unaelekea kumalizika,

Pia awamu ya tatu ipo njiani kuanza,

Nyie endeleeni na sizitaki mbichi hizi.
Note Kwa Sasa BRT inabeba abiria laki mbili kwa siku..wenyewe wanabrag na hiyo train yenye kubeba watu elfu 40
Screenshot_2020-06-01-22-05-57-836_com.android.chrome.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]machungu
Without brt system msije sema hatukuwaambia tena zenu zimejengwa zimepinda pinda nyingine zimejengwa zimekuwa vumbi tupu kama road za uganda.

Send by APOLO 1
 
Kenya ni mkubwa wenyu hii ukanda ya EAC., pia Ethiopia wako juu yenyu., nyie watoto kimaendeleo, wazee kimyaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi ni lazima tujilinganishe na Kenya? Kwanini tusijilinganishe na Dubai, Seoul, Washington DC nk?
Ukitaka kukua, tembea na wakubwa.
 
nani amesema hakuna?
lakini Dar its only 30kms na inabebaba 9000 commuters only kwa siku...

Ilhali Nairobi commuter Rail ni 100kms inabeba 41000 commuters daily...

Unaona kwa nini mipango ya Nairobi ni ya railway....BRT ni kurudi nyuma hapa kwetu

Lakini labda nyinyi mna mipango mingine... kila nchi na shida zake...

Hapa Nairobi BRT haiwezi saidia....
Kwa hiyo mipango yenu na akili zenu mbovu za kudharau BRT, 4 times 41,000=164000 Hii haitaweza kuifikia ata phase I ya BRT ambayo inabeba zaidi ya abiria lakimbili kwa siku..tuliunganisha na phase III nafikiri watafika abiria 1000 kwa siku
Screenshot_2020-06-01-22-05-57-836_com.android.chrome.jpg
 
Eti BRT haiwezi kusaidia [emoji23]

Tatizo serikali yenu inawaogopa wamiliki wa matatu kingine miundombinu yenu mmejenga kizamani sana

Hivi si Dar es salaam ndio jiji lenye watu wengi kuliko Nairobi?

Ujenzi wa BRT awamu ya pili Mbagala unaelekea kumalizika,

Pia awamu ya tatu ipo njiani kuanza,

Nyie endeleeni na sizitaki mbichi hizi.
Nairobi si Nairobi City tu,
Kuna Nairobi Metropolitan area, Kikuyu, Thika, Rongai, Kitengela, Kiambu , Mlolongo ... that has a population of over 11,000,000 people..

System ya mass transit lazima ishughulikie maeneo haya ambayo ni kama "bed-room" ya Nairobi...

Dar iko na watu 6m ..
 
Mass transit..Mnachekesha Sana nyie
 
Kwa hiyo mipango yenu na akili zenu mbovu za kudharau BRT, 4 times 41,000=164000 Hii haitaweza kuifikia ata phase I ya BRT ambayo inabeba zaidi ya abiria lakimbili kwa siku..tuliunganisha na phase III nafikiri watafika abiria 1000 kwa sikuView attachment 1466045

Hiyo phase 1 already railway ipo, kazi ni kuongeza coaches... phase 1 ilikuwa "revamping"... the Nairobi railway commuter service is many years older than your BRT kaka.
Phase 2 and 3 ndiyo kazi iko kaka...
 
Politics
 
Nairobi si Nairobi City tu,
Kuna Nairobi Metropolitan area, Kikuyu, Thika, Rongai, Kitengela, Kiambu , Mlolongo ... that has a population of over 11,000,000 people..

System ya mass transit lazima ishughulikie maeneo haya ambayo ni kama "bed-room" ya Nairobi...

Dar iko na watu 6m ..
Endelea kuruka ruka.
 
Hiyo kitu moja tu ndio inafanya mupayuke ivyo?., [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nairobi na Dar cannot be mentioned on the same sentence, Dar ni coastal city, comparable to Mombasa in Kenya. Nairobi hamtoshi, nikujikweza hua mnajaribu na vipicha vile vile angle tofauti., kwingine 80% ni balaa
I dare you to show me just one BRT that was done 20 years ago, in Kenya.
[/QUOTE]
images-2.jpg
images-1.jpg
 
Hiyo kitu moja tu ndio inafanya mupayuke ivyo?., [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nairobi na Dar cannot be mentioned on the same sentence, Dar ni coastal city, comparable to Mombasa in Kenya. Nairobi hamtoshi, nikujikweza hua mnajaribu na vipicha vile vile angle tofauti., kwingine 80% ni balaa
View attachment 1466060View attachment 1466063
Leta BRT acha bla bla.
 
Kuhusu project za TZ ubungo flyover na ubora wake tofauti na za Kenya zilizo jengwa kwa kupangwa matofari tena zikiwa zime pinda pinda.

Sijui ni barabara gani unaweza compare kati ya hii na moja ya huko Kenya.
 
Hamna commuter rail transport. Kama mko nayo tuonyeshe their routes, stations and time schedule
Hiyo kitu tunayo toka raisi kikwete jomba tena ni reli zote 3
 
I need the recent one not 2018 article. Show me the schedule of 2020
Acha ubishi treni hizo zimeanza kutumika wakati Wa raisi kikwete kwa reli ya tazara ila magufuli kafanya reli zote 3 ziwe na commuter hapo tupo mbele yenu kwa sababu tuna mfumo Wa reli 3 tz
 
Back
Top Bottom