Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 20,648
- 17,772
Unataka nini niendelee wakati kazi ilishaisha?Hiyo Ni ndoto ...8 years ago but hakuna kibachoendelea.. hichi ndicho mlichoweza
View attachment 1465182
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka nini niendelee wakati kazi ilishaisha?Hiyo Ni ndoto ...8 years ago but hakuna kibachoendelea.. hichi ndicho mlichoweza
View attachment 1465182
We have our plans and as I told you, we don't eagerly need BRT.Hiyo second one ya Mombasa msije sahau kujenga wjth brt system , msije sema hatukuwaambia
Send by APOLO 1
Hongereni kwa huu UTOPOLOUnataka nini niendelee wakati kazi ilishaisha?
Kuhusu project za TZ ubungo flyover na ubora wake tofauti na za Kenya zilizo jengwa kwa kupangwa matofari tena zikiwa zime pinda pinda.
Hivi ni lazima tujilinganishe na Kenya? Kwanini tusijilinganishe na Dubai, Seoul, Washington DC nk?
Ukitaka kukua, tembea na wakubwa.
Utopolo wa zaidi ya Km50? Hako kenu kanatoshana aje? 😂😂Hongereni kwa huu UTOPOLO
View attachment 1465437
Km 50 wapi Hadi wapiUtopolo wa zaidi ya Km50? Hako kenu kanatoshana aje? 😂😂
U mean this one [emoji16][emoji16][emoji16]Dude, wide 12lane highways , overpasses, under-passes, inter-changes stopped being an attraction in Kenya in 2011,
There are dual carriages under-construction some distance from where I live and no govt official has come to even launch construction. Kazi inasonga tu.
It's not in the news anymore.
The first 3 level interchange in East Africa. Do you have underpass?Hongereni kwa huu UTOPOLO
View attachment 1465437
Wtf..huo mtaro nao Ni wa kubrag..we have three levels do you have it?The first 3 level interchange in East Africa. Do you have underpass?
Pangani interchangeWtf..huo mtaro nao Ni wa kubrag..we have three levels do you have it?
Nyamaza Mkuu unabisha kumbe hata hujui unachosema.Km 50 wapi Hadi wapi
Huo mchoro..Leta picha..miaka name imeshapita bado mnabrag mchoro acheni ujinga
Leteni picha..acheni porojo zenuNyamaza Mkuu unabisha kumbe hata hujui unachosema.
Hiyo haina tofauti na hiiU mean this one [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1465457
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumechoka kupost hizo picha na zaidi ya yote hizo barabara zetu tumeshazizoea Hadi kuchoka.So utuelwekee hapa..navyowajua Wakenya hawawezi ficha picha kwenye Jambo Kama hili
Kumbe wewe ni mgeni hizo picha zimepostiwa tangu 2015.So utuelwekee hapa..navyowajua Wakenya hawawezi ficha picha kwenye Jambo Kama hili
is pangani three level😂😂😂😂 hujaacha upuuzi bado
Kuhusu project za TZ ubungo flyover na ubora wake tofauti na za Kenya zilizo jengwa kwa kupangwa matofari tena zikiwa zime pinda pinda.