Huu mwaka tuliwaambia Wakenya

Huu mwaka tuliwaambia Wakenya

Hiyo second one ya Mombasa msije sahau kujenga wjth brt system , msije sema hatukuwaambia

Send by APOLO 1
We have our plans and as I told you, we don't eagerly need BRT.
 
Unataka nini niendelee wakati kazi ilishaisha?
Hongereni kwa huu UTOPOLO
IMG_20200601_065845.jpg
 
Kuhusu project za TZ ubungo flyover na ubora wake tofauti na za Kenya zilizo jengwa kwa kupangwa matofari tena zikiwa zime pinda pinda.


😂😂😂😂 Kenya ya 80s ndio Tanzania ya 2025
 
Dude, wide 12lane highways , overpasses, under-passes, inter-changes stopped being an attraction in Kenya in 2011,
There are dual carriages under-construction some distance from where I live and no govt official has come to even launch construction. Kazi inasonga tu.

It's not in the news anymore.
U mean this one [emoji16][emoji16][emoji16]
JamiiForums966624550.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
So utuelwekee hapa..navyowajua Wakenya hawawezi ficha picha kwenye Jambo Kama hili
Tumechoka kupost hizo picha na zaidi ya yote hizo barabara zetu tumeshazizoea Hadi kuchoka.
 
Kuhusu project za TZ ubungo flyover na ubora wake tofauti na za Kenya zilizo jengwa kwa kupangwa matofari tena zikiwa zime pinda pinda.


Nyie mumejenga fly over moja sasa sisi Wakenya hatuwezi pumua?
 
Back
Top Bottom