Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
- Thread starter
-
- #41
Mkuu Chizi Maarifa huoni kuwa kungonoka duniani kama hivyo ni tiketi ya Moja kwa Moja ya kukosa wale mabikra 72?
Anyway, Kazi ni kwako.
ELI COHEN
Mabikra 72 wote utawaweza mkuu ???? Duuuh ahadi zingine ni uongo mtupu hao si bus zima la yutongMkuu Chizi Maarifa huoni kuwa kungonoka duniani kama hivyo ni tiketi ya Moja kwa Moja ya kukosa wale mabikra 72?
Anyway, Kazi ni kwako.
ELI COHEN
Kila la khari ndugu yangu katika imani.Hapana nafanya mazoezi. Mbona mtume alikuwa nao wengi tu zaidi ya 10? Na kule ntapata 72 naanza mazoezi huku.
Hawanitoshi. Natumai Kuna wale wasio na uwezo wa kuwapelekea wanawake moto. Hao ndo wataniongezea mabikra wengine.Mabikra 72 wote utawaweza mkuu ???? Duuuh ahadi zingine ni uongo mtupu hao si bus zima la yutong
Duuuh dadeki huu mtihani sanaHawanitoshi. Natumai Kuna wale wasio na uwezo wa kumpelekea wanawake moto. Hao ndo wataniongezea mabikra wengine.
Mkuu nasubiri kifo kwa hamu kila nikikumbuka habari za hao mabikra 72.Duuuh dadeki huu mtihani sana
Binafsi nasinzia ovyo hapa mkuu 😂.secretarybird hakuna mada nzuri nzuri leo humu?? Kama hamna nikalale tu maana saizi jf naona imekaaa kipuuzi TU
Hakuna namna naona mada zilezile za toka October 29 mara vifo etc daaah hayasahauliki lakini mada hizo zinaharibu saizi tu jukwaaa mara ukikaa kidogo mwashambwa naye analeta uzi wa kipuuziBinafsi nasinzia ovyo hapa mkuu 😂.
Ngoja kesho niletee mkasa fulani ulionikuta miaka kadhaa iliyopita.Hakuna namna naona mada zilezile za toka October 29 mara vifo etc daaah hayasahauliki lakini mada hizo zinaharibu saizi tu jukwaaa mara ukikaa kidogo mwashambwa naye analeta uzi wa kipuuzi
Bora kidogo binti wa zamani anakujaga kuchangamsha huku
Italeta kesho mida gani???Ngoja kesho niletee mkasa fulani ulionikuta miaka kadhaa iliyopita.
Sijui nitaleta muda gani ila nitakutag.Italeta kesho mida gani???
Utanitag mkuu maana saizi macho yamechoka sana
Hongera mkuu, wengine tumeuanza mwaka kwa kukwea mnazi kwa mkono mmoja.Ukiwa na vijjcent Tz mambo yanaenda mswano. Ntachelewa kuondoka Tz nizile zile kidogo nikirudi kwa watu nikawe nachapa kazi. Huku nachapa K tu kwa sasa. Hii yenyewe imejiinamisha mbele yangu... Mwaka umeanza vizuri kwa kweli.
View attachment 3526606
😄🤣🤣Hongera mkuu, wengine tumeuanza mwaka kwa kukwea mnazi kwa mkono mmoja.
Mmoja ya hao malaya 72 lazima Munch wa annabelle awemo akijifanya wa kikeMkuu Chizi Maarifa huoni kuwa kungonokduniani kama hivyo ni tiketi ya Moja kwa Moja ya kukosa wale mabikra 72?
Anyway, Kazi ni kwako.
ELI COHEN
Nukimkuta kule nitamwahi.Mmoja ya hao malaya 72 lazima Munch wa annabelle awemo akijifanya wa kike
USINIPE SIFA AMBAZO SINA MKUU, HUKO SIJAWAHI KANYAGA MKUU, ASANTE MKUUSafi na wewe bado upo Makunduuchi au Mombasa?