Huu Mwenge usiwe unakimbizwa Dar es Salaam, unatuchosha na kutupotezea muda

Mwenge wenyewe hauna maana yoyote, katika vitu vya kipuuzi nchi hii mwenge ni namba moja.

Mwaka jana nilikwama kwenye foleni hivyohivyo masaa mawili nilikasirika sana, poleni sana Mkuu.
 
Sio dar tu, uende makumbusho kbs
 
Unavyolalamika watafutaji unatuboa
 
Na hauna faida yoyote
 
Huu Mwenge Usiwe Unakimbizwa Dar es Salaam, Unatuchosha na Kutupotezea Muda
Mbio za mwenge ni kichaka cha ufisadi mkubwa wa kupiga pesa kwa sasa. Kukimbiza huo moto nchi nzima kunagharimu mabilioni ya shilingi za walipa kodi bila tija yoyote.

Ni wakati sasa wa kuhifadhi hilo dude kwenye Makumbusho ya Taifa ili kuokoa fedha za umma na kuondoa usumbufu kwa wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…