Huu Mwenge usiwe unakimbizwa Dar es Salaam, unatuchosha na kutupotezea muda

Huu Mwenge usiwe unakimbizwa Dar es Salaam, unatuchosha na kutupotezea muda

Mwenge ni Kama muungano.
Hakuna anayesema anautaka lakini pia hakuna anayesema hautaki.
Binafsi ningependa tuachane nao kwani umeshindwa kumulika hata waliotajwa na CAG achilia mbali waliosemwa na Bashe kwenye ununuzi wa mazao.
Umeshindwa kuwamulika walimu wakuu wanaokula fedha za capitatioñ.
Wakurugenzi wanao ones na kunyanyasa watumishi. Umeshindwa kumulika viongozi mashoga na wasagaji. Umeshindwa kumulika manabii wanaowaibia wanànchi, umeshindwa kabisa kuwamulika matrafiki barabarani.
Sasa huu mwenge unamulika Nini???
 
Back
Top Bottom