Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Sasa huna mchumba, mchepuko unatoka wapi??Mimi bachelor bado sijaoa wala sina mchumba chief
Au mchepuko kwa mujibu wako ni nani/nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa huna mchumba, mchepuko unatoka wapi??Mimi bachelor bado sijaoa wala sina mchumba chief
Mimi kesho nasafiri kwenda Zanzibar na Mchepuko Wangu. Kurudi Dar ni Mpaka Tarehe 30.
View attachment 2455918
Swali zuri[emoji1787]Sasa huna mchumba, mchepuko unatoka wapi??
Au mchepuko kwa mujibu wako ni nani/nini?
Mambo ya kuanzisha uzi ili uwekwe kwenye shindano. Hata hajui ni nini kaandika.Swali zuri[emoji1787]
Aje hapa atujibu tafadhaliiiMambo ya kuanzisha uzi ili uwekwe kwenye shindano. Hata hajui ni nini kaandika.
Wewe na nani ndugu yangu.Na sisi wapi mkuu?nasikia wanakuita "wakienyeji"
Sijui kama atanielewa ndugu yanguSidhani kama atakuelewa
Utakwenda na maji ndugu yanguNdomu haraam mrembo. Wengine sijui Mnawezaje
Ili mfe woteWanawake wenyewe sikuiz hawapendi izo vitu ukivaa wanakuvua wanasingizia wanaumia mara hawaenjoy
Mimi nina wapenzi washirikishi Chief bado sijapata mpenzi mkuuSwali zuri[emoji1787]
Nina mwaka mzima sijapost uzi humu chief wala sina tabia hiyo. Be positiveMambo ya kuanzisha uzi ili uwekwe kwenye shindano. Hata hajui ni nini kaandika.
Mwaka mpya na mambo mapya. Ntajaribu mwakaniUtakwenda na maji ndugu yangu
Inawezekana🤔Ili mfe wote
Kha yaani upeleke mcheps zenji alafu ukale pipi na ganda lake😲😲😲😲Usisahau kutumia ndomu mkuu
Nilio nao wote ni michepukoSwali zuri[emoji1787]
Iyo komenti natamani mods waifute mkuu imeniumiza sana🥲Kha yaani upeleke mcheps zenji alafu ukale pipi na ganda lake😲😲😲😲
Single means wewe ni malaya: Kamusi ya kibongo isiyokua rasmiTulio single hatuna hzi puresha
Sikumaanisha hivyooSingle means wewe ni malaya: Kamusi ya kibongo isiyokua rasmi