Palmoni
JF-Expert Member
- Jun 13, 2024
- 1,968
- 3,760
Kama Si BWANA Aliyekuwa Pamoja Nasi,,Binadamu Walipotushambulia....Zaburi 124:1-2,,Luv uu RubyHakika Kama si BWANA aliyekuwa pamoja nasi, Israeli na aseme sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Si BWANA Aliyekuwa Pamoja Nasi,,Binadamu Walipotushambulia....Zaburi 124:1-2,,Luv uu RubyHakika Kama si BWANA aliyekuwa pamoja nasi, Israeli na aseme sasa.
HahahaUkienda ovyo atakutoa nishai, anzia mbali huku ukizuga na busara za kinafiki..
Kula kunachangia umasikini kwa robo tatu ya maisha yako, tungekuwa hatuli wote tungekuwa matajiri.Shida Sio kulaaa
Nunua makabichi na dagaa
Mkuu kwamba hii itabadilisha hali ya kiuchumi?Nunua makabichi na dagaa
Haya ni maneno mazuri ila hayaleti chakula mezaniKuna muda unajitoa akili tu, na kuchukulia mambo kawaida tu, nothing is permanent.
Motivational speechWakat naanza maisha nilikuwa nikiwa na magumu kuna maumivu fulan nilkuwa nayahisi mpaka kwenye moyo,lakin baada ya kuzoea naishi kibishi na ninanenepa tu f
Ile riba inayolingana na thamani ya pesa unayokopa? umasikini ni tabu sanaPole bosi kukopa kwa watu ni fedheha taasis zipo unaogopa riba
Mkuu watanzania wengi wanaishi juu ya vipato vyao, yaani wakati wote matumizi yanakuwa juu ya vipato vyao, ktk mazingira hayo kusave pesa inakuwa ngumu sana, na ndio hao ambao kila ikifika january basi ni mayowe kila kona ya nchi.Uwa najiuliza sana kwann watanzania weng hatuna utaratibu wa kitunza au kuweka akiba
Tangu mwezi wa 5 tunajua kabsa mwezi wa 12 huwa kuna skukuu na mwezi 1 huwa ni muda wa watoto shule ila huwa tunashindwa kutunza pesa na kujipanga
Iv mzazi unajua unawatoto kwann mwezi wa 9/10 usinunue vitu vya shule ukatunza ndani, kwann usilipe karo za mwaka ujao mapema
Karo na skukuu izo sio ugojwa kwamba huja bira kupanga karo skukuu ni vitu ambavyo tunajua kabsa vipo ila kila mwaka ikifka mwezi wa 01 tunaanza kulia lia
Kwa mm mwenye kipato sina haja ya kujipanga na km ni madhara napata madogo sana ila kwa yule asie na kipato kwann asijipange mapema sabu madhara yake ni makubwa sana