Huu mwezi mbona kama mgumu! Hivi mnatumia mbinu gani kuishi unapopita kwenye magumu na kutoka mshindi

January haijawahi kuwa rahisi, hasa kwa wenye majukumu. Labda uwe strategic sana.
 
Uwa najiuliza sana kwann watanzania weng hatuna utaratibu wa kitunza au kuweka akiba

Tangu mwezi wa 5 tunajua kabsa mwezi wa 12 huwa kuna skukuu na mwezi 1 huwa ni muda wa watoto shule ila huwa tunashindwa kutunza pesa na kujipanga

Iv mzazi unajua unawatoto kwann mwezi wa 9/10 usinunue vitu vya shule ukatunza ndani, kwann usilipe karo za mwaka ujao mapema

Karo na skukuu izo sio ugojwa kwamba huja bira kupanga karo skukuu ni vitu ambavyo tunajua kabsa vipo ila kila mwaka ikifka mwezi wa 01 tunaanza kulia lia

Kwa mm mwenye kipato sina haja ya kujipanga na km ni madhara napata madogo sana ila kwa yule asie na kipato kwann asijipange mapema sabu madhara yake ni makubwa sana
 
Hamia mtaani kwangu, kuna kiwanda kinatoa maji baridi ya kunywa bure na kiwanda kingine kinatoa bure chakula cha mchana kila siku, ndizi mbivu, limau na pilipili ni juu yako.
Shida Sio kulaaa
 
We si unabeti correct score na unawini mara 4 kwa wiki
Tulia usitoe siri nataka hela halali hela ya kamali ni ya bia ndio mana sijalalamika kukosa bia
 
Tunapitia hali moja mzee mwenzangu sema tujipe imani tu kila kitu kitakuwa sawa in jesus name
 
Mkuu na bado linakuja lile la yule jomba alietabiri upungufu wa nguvu za kiume😂😂
 
Mkuu jitahidi tengeneza kipato cha ziada kama January inakutesa anzisha biashara inayokuwa hot Dec na January hutokosa pesa
 
Uwa najiuliza sana kwann watanzania weng hatuna utaratibu wa kitunza au kuweka akiba

Tangu mwezi wa 5 tunajua kabsa mwezi wa 12 huwa kuna skukuu na mwezi 1 huwa ni muda wa watoto shule ila huwa tunashindwa kutunza pesa na kujipanga

Iv mzazi unajua unawatoto kwann mwezi wa 9/10 usinunue vitu vya shule ukatunza ndani, kwann usilipe karo za mwaka ujao mapema

Karo na skukuu izo sio ugojwa kwamba huja bira kupanga karo skukuu ni vitu ambavyo tunajua kabsa vipo ila kila mwaka ikifka mwezi wa 01 tunaanza kulia lia

Kwa mm mwenye kipato sina haja ya kujipanga na km ni madhara napata madogo sana ila kwa yule asie na kipato kwann asijipange mapema sabu madhara yake ni makubwa sana
Mkuu watanzania wengi wanaishi juu ya vipato vyao, yaani wakati wote matumizi yanakuwa juu ya vipato vyao, ktk mazingira hayo kusave pesa inakuwa ngumu sana, na ndio hao ambao kila ikifika january basi ni mayowe kila kona ya nchi.
 
Back
Top Bottom