Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukijitoa ufahamu ukasheherekea sikukuu bila brake unaweza juta. January nimefulia kabsa lakini sidaiwi ada, sidaiwi kodi, sidaiwi chochote cha msingi yote niliyafanya kabla ya christmas. Maana kuanzia kodi, ada vyote vinalipwa january hivyo nakaa mguu pandeinaitwa njaanuary , kaza tu braza yatapita , muda kama huu usiendekeze yeyote anaomba hela mpaka mambo yatulie
Mkuu. Nakupa hii fomla yahuu mwaka,fanya hiv kama una magumu kwenye biashara we komaa usiiache wala usiibadili ila kaa hapohapo na endelea na plani zako utatoboaHapa nilipo hata tsh buku 10 imenipiga chenga mwenye nyumba anadai kodi
Watoto wanahitaji ada kwenda shule
Ndugu wanaomba niwapige kampani wazazi nao wanataka pesa
Nimeenda kopa kwa jamaa nao wanalia hali ni tete
Na kitaa mishe mingi zimesimaa wakuu hivi mnatumia mbinu gani kuishi za kijemedali
Maana kichwa kinauma kwa mawazo
We si unabeti correct score na unawini mara 4 kwa wikiHapa nilipo hata tsh buku 10 imenipiga chenga mwenye nyumba anadai kodi
Watoto wanahitaji ada kwenda shule
Ndugu wanaomba niwapige kampani wazazi nao wanataka pesa
Nimeenda kopa kwa jamaa nao wanalia hali ni tete
Na kitaa mishe mingi zimesimaa wakuu hivi mnatumia mbinu gani kuishi za kijemedali
Maana kichwa kinauma kwa mawazo
HahahaNjoo nikuuzie mkuu
Yaani hakimu awe mchepukoTafuta michepuko mitano kwa malengo, ipo siku itakuokoa:-Achana na akina mwajuma ndala ndefu
mama ntilie-atakusaidia chakula askari-mambo ya kisheria nesi- mambo ya hospitali hakimu-mambo ya kesi cashier- atakukopesha
We acha mkuu! Si wengine shule zimekomba kila kitu, nawahusia watu kuzaa watoto wachache,mmoja au wawili tu wanatosha kabisa.Hapa nilipo hata tsh buku 10 imenipiga chenga mwenye nyumba anadai kodi
Watoto wanahitaji ada kwenda shule
Ndugu wanaomba niwapige kampani wazazi nao wanataka pesa
Nimeenda kopa kwa jamaa nao wanalia hali ni tete
Na kitaa mishe mingi zimesimaa wakuu hivi mnatumia mbinu gani kuishi za kijemedali
Maana kichwa kinauma kwa mawazo
Huwa hawana hisia au?Yaani hakimu awe mchepuko
Mi naogopa, naona wamekaa kishari shariHuwa hawana hisia au?
mbona kawaida sana,mwaka 2016 nilikuwa na michepuko miwili walikuwa ni soja, na niliwatongoza pasina hofu, pia ilichangia nilikuwa naishi maeneo ambayo askari ni wengi kwaiyo tulishawazoea sana.. kwa kifupi nao wana hisia tu mkuuMi naogopa, naona wamekaa kishari shari
Ukienda ovyo atakutoa nishai, anzia mbali huku ukizuga na busara za kinafiki..Mi naogopa, naona wamekaa kishari shari
Hamia mtaani kwangu, kuna kiwanda kinatoa maji baridi ya kunywa bure na kiwanda kingine kinatoa bure chakula cha mchana kila siku, ndizi mbivu, limau na pilipili ni juu yako.Hapa nilipo hata tsh buku 10 imenipiga chenga mwenye nyumba anadai kodi