Anaitwa Lie jueng anaomba urafiki na mtu toka East AfricaNimemdukua huyu hapa, vijana kazi kwenu, ila lugha hapo chini sijajua maana yake mtatafasiri wenyewe.
我的名字叫lie jueng,住在廣州北面的瓦欣省,我正在尋找一個來自東部非洲的朋友,準備在+8624597088上看到我的WhatsApp編號。
View attachment 1372730
Nendeni KWENYE mitandaa yaan wachinaa wamejazana kuomba urafiki kila sehemuu
Hukoo kwa wakubwaa ndioo balaaa wanaombaa na namba za SIMU na jinsi ya kufika Tanzania
Watanzania msichezee opportunity ndioo sasaa tuoe Wachinaa kuongeza urafiki Mwemaa wa serikali zetu tukufuu Tanzania na china
Mchina? Hata mvuto hana!Nendeni KWENYE mitandaa yaan wachinaa wamejazana kuomba urafiki kila sehemuu
Hukoo kwa wakubwaa ndioo balaaa wanaombaa na namba za SIMU na jinsi ya kufika Tanzania
Watanzania msichezee opportunity ndioo sasaa tuoe Wachinaa kuongeza urafiki Mwemaa wa serikali zetu tukufuu Tanzania na china
Kuna sehemu nimeona wa nauza majeneza kwenye bango wameandika CORONA FUNERAL SERVICEMahari ndo corona au..?
Halafu jina corona limekaa Kama aina fulani ya gari nzuri nzuri hivi[emoji23][emoji23]
Wanawake wanaume mbona hawatuombi urafiki siee[emoji849]Nimemdukua huyu hapa, vijana kazi kwenu, ila lugha hapo chini sijajua maana yake mtatafasiri wenyewe.
我的名字叫lie jueng,住在廣州北面的瓦欣省,我正在尋找一個來自東部非洲的朋友,準備在+8624597088上看到我的WhatsApp編號。
View attachment 1372730
Acha watu wabadili ukoo bwashee,ukoo mzima ma black acha kidogo tuchanganye colour mzee baba,Sijawahi ona mchina mzuri wa kutisha.Wanatumwili tudogo,sura pana,wafupi,pasi na malienge.Watoto chotara wa kichina na waafrika huwa hata sio wazuri kama Afrika +Arabs,African +white, African+ Indian.Acheni kushoboka na vitu vibovu hata hela hawana kama mademu was kizungu au kiarabu.Bora ukaoe kwa bakhresa utapata chochote sio wachina pumbafu tu!!
Ila wawe makiniNimemdukua huyu hapa, vijana kazi kwenu, ila lugha hapo chini sijajua maana yake mtatafasiri wenyewe.
我的名字叫lie jueng,住在廣州北面的瓦欣省,我正在尋找一個來自東部非洲的朋友,準備在+8624597088上看到我的WhatsApp編號。
View attachment 1372730
Nitaende kuongezea apo COVID-19Kuna sehemu nimeona wa nauza majeneza kwenye bango wameandika CORONA FUNERAL SERVICE
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kati ya Ebola na corona ni nani mkali zaidi?
Hivi kati ya Ebola na corona ni nani mkali zaidi?