Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ana chura ?Nikimpata huyu najilipua! View attachment 1372873
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ana chura ?
!!!!!????Nendeni KWENYE mitandaa yaan wachinaa wamejazana kuomba urafiki kila sehemuu
Hukoo kwa wakubwaa ndioo balaaa wanaombaa na namba za SIMU na jinsi ya kufika Tanzania
Watanzania msichezee opportunity ndioo sasaa tuoe Wachinaa kuongeza urafiki Mwemaa wa serikali zetu tukufuu Tanzania na china
Nikimpata huyu najilipua! View attachment 1372873
Mahari ndo corona au..?
Halafu jina corona limekaa Kama aina fulani ya gari nzuri nzuri hivi[emoji23][emoji23]
Corona ni kampuni ya kuzika ya muda mrefu hapo dar.Kuna sehemu nimeona wa nauza majeneza kwenye bango wameandika CORONA FUNERAL SERVICE
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Sio Mchina bali ana asili ya South Korea.Nikimpata huyu najilipua! View attachment 1372873
Idadi ya watu hiyo kwasababu iliikumba Africa, je fikilia Convi ndo ingeikumba Africa kabla ya huko ulimwenguni wa kwanza unazani idadi ingekuwa the same mkuu?Mkuu nafikiri Ebola ilikuwa mbaya zaidi kwani walikufa watu kama 11,000 kwa mda mfupi sana
Yaani Coronavirus inakuwa kama chafya tu kwa Ebola
Sent from my iPhone using Tapatalk
Hawa wapo wengi tu na wanajisocialise as Americans. Ngoja nikutumie link ambazo unaweza ukawapata: Kwanza unaifahamu Tinder?Nikimpata huyu najilipua! View attachment 1372873
Idadi ya watu hiyo kwasababu iliikumba Africa, je fikilia Convi ndo ingeikumba Africa kabla ya huko ulimwenguni wa kwanza unazani idadi ingekuwa the same mkuu?
What I can conclude is Conv ni very deadly disease than Ebora.