February Makamba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 2,151
- 2,983
Mkuu tunawapataje sisi wachumia juani?Usiishie kuwafikiria tu, fanikisha mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tunawapataje sisi wachumia juani?Usiishie kuwafikiria tu, fanikisha mkuu
Kuna social networks nyingi wanajitangaza.Mkuu tunawapataje sisi wachumia juani?
Fursa njenje aisee mbona Mimi siombwi urafikiNendeni KWENYE mitandao yaani wachinaa wamejazana kuomba urafiki kila sehemu
Huko kwa wakubwa ndio balaa wanaomba na namba za SIMU na jinsi ya kufika Tanzania
Watanzania msichezee opportunity ndio sasa tuoe Wachina kuongeza urafiki Mwemaa wa serikali zetu tukufuu Tanzania na China
Sasa ulitegemea wakufuate hapa JF au Facebook, kuna social networks kubwa zinazohusiana na mambo ya urafiki wa wanaume na wanawake yaani CONNECTIONS we jimwambafai hapa wakati wenzako wanzako wanashinda Tinder huko 😂😂😂
Kama zipiSasa ulitegemea wakufuate hapa JF au Facebook, kuna social networks kubwa zinazohusiana na mambo ya urafiki wa wanaume na wanawake yaani CONNECTIONS we jimwambafai hapa wakati wenzako wanzako wanashinda Tinder huko [emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo niliyoitaja hapo ni moja wapo, inakuletea walio karibu nawe. Ukitaka wanawake wa nchi fulani we just google Mfano: Chinese dating networks watakuletea kibao
Zhao ji.nipo bongo nimetua wiki iliyo pita.
Huwa ni style yake tu sio kwamba hajui akifanyacho,tafuta post zake za leo baada ya hii.Mkuu kwanza nakupongeza kuandika kwa herufi ndogo maana ulikuwa huwezi.
Pia hongera kwa kutambua fursa, ngoja waje.
Zhao ji.nipo bongo nimetua wiki iliyo pita.
Nadhani alianzia hapa tu. Hii ni post ya siku nyingi si ya leo.Huwa ni style yake tu sio kwamba hajui akifanyacho,tafuta post zake za leo baada ya hii.
Ok,ila ndio michezo yake kila siku.Nadhani alianzia hapa tu. Hii ni post ya siku nyingi si ya leo.
Nafikiri huu mwaka utakuwa wa kihistory huko kwao maana walikuwa wanalinga sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ndo huyu. Nilikuwa sijui kuwa ni yeye.Ok,ila ndio michezo yake kila siku.
Huyu alikuwa anaitwa @pdiddy sijui nini kiliikuta ID hiyo ambayo ni kongwe na maarufu kuliko hata hii hadi ameisusa.
Nimemdukua huyu hapa, vijana kazi kwenu, ila lugha hapo chini sijajua maana yake mtatafasiri wenyewe.
我的名字叫lie jueng,住在廣州北面的瓦欣省,我正在尋找一個來自東部非洲的朋友,準備在+8624597088上看到我的WhatsApp編號。
View attachment 1372730
Ndiye.Kumbe ndo huyu. Nilikuwa sijui kuwa ni yeye.
Sent from my PBCM30 using Tapatalk
Google mkuu.Social network gan kuna wakorea?