Huu ndio mda muafaka kuoa wachinaa

Huu ndio mda muafaka kuoa wachinaa

Hapo km wanataka ni kubeba mji mzima huko wakabwagwe Mbeya huko kiwira,
Na jamaa waambiwe kazi kwenu ,kule hamna corona wala corolla watakula bakola mpk waombe poo.
 
Mkuu tunawapataje sisi wachumia juani?
Kuna social networks nyingi wanajitangaza.
Kiufupi janga la kutafuta wanaume wa kuoa linawakabiri wanawake dunia nzima. Kuna dating women networks nyingi tu yaani ni uchaguzi wako tu. Kama uko serious utaopoa
 
Nendeni KWENYE mitandao yaani wachinaa wamejazana kuomba urafiki kila sehemu

Huko kwa wakubwa ndio balaa wanaomba na namba za SIMU na jinsi ya kufika Tanzania

Watanzania msichezee opportunity ndio sasa tuoe Wachina kuongeza urafiki Mwemaa wa serikali zetu tukufuu Tanzania na China
Fursa njenje aisee mbona Mimi siombwi urafiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok,ila ndio michezo yake kila siku.

Huyu alikuwa anaitwa @pdiddy sijui nini kiliikuta ID hiyo ambayo ni kongwe na maarufu kuliko hata hii hadi ameisusa.
Kumbe ndo huyu. Nilikuwa sijui kuwa ni yeye.

Sent from my PBCM30 using Tapatalk
 
Nimemdukua huyu hapa, vijana kazi kwenu, ila lugha hapo chini sijajua maana yake mtatafasiri wenyewe.


我的名字叫lie jueng,住在廣州北面的瓦欣省,我正在尋找一個來自東部非洲的朋友,準備在+8624597088上看到我的WhatsApp編號。
View attachment 1372730

Simplified- CHINESE.

我的名字叫lie jueng,住在廣州北面的瓦欣省,我正在尋找一個來自東部非洲的朋友,準備在+8624597088上看到我的WhatsApp編號。

Translation.

Wǒ de míngzì jiào lie jung, zhù zài guǎngzhōu běimiàn de wǎ xīn shěng, wǒ zhèngzài xúnzhǎo yīgè láizì dōngbù fēizhōu de péngyǒu, zhǔnbèi zài +8624597088 shàng kàn dào wǒ de WhatsApp biānhào.

Swahili

Jina langu ni lie jung na ninaishi Mkoa wa Wahin, kaskazini mwa Guangzhou. Natafuta rafiki kutoka Afrika Mashariki. nambari yangu ya WhatsApp ni +8624597088


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom