Huu ndio mda muafaka kuoa wachinaa

Huu ndio mda muafaka kuoa wachinaa

nimecheka na hii comparison ya EBOLA kamuoa CORONA
kweli hivi vibint vya Corona havina mvuto mbele wala nyuma labda sura na kisauti
 
Nikimpata huyu najilipua!
Beautiful-Chinese-Girls-Cute-Wallpapers-HD-Image.jpeg
 
Nendeni KWENYE mitandaa yaan wachinaa wamejazana kuomba urafiki kila sehemuu

Hukoo kwa wakubwaa ndioo balaaa wanaombaa na namba za SIMU na jinsi ya kufika Tanzania

Watanzania msichezee opportunity ndioo sasaa tuoe Wachinaa kuongeza urafiki Mwemaa wa serikali zetu tukufuu Tanzania na china
!!!!!????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nafikiri Ebola ilikuwa mbaya zaidi kwani walikufa watu kama 11,000 kwa mda mfupi sana
Yaani Coronavirus inakuwa kama chafya tu kwa Ebola
Sent from my iPhone using Tapatalk
Idadi ya watu hiyo kwasababu iliikumba Africa, je fikilia Convi ndo ingeikumba Africa kabla ya huko ulimwenguni wa kwanza unazani idadi ingekuwa the same mkuu?
What I can conclude is Conv ni very deadly disease than Ebora.
 
Idadi ya watu hiyo kwasababu iliikumba Africa, je fikilia Convi ndo ingeikumba Africa kabla ya huko ulimwenguni wa kwanza unazani idadi ingekuwa the same mkuu?
What I can conclude is Conv ni very deadly disease than Ebora.

Hilo Pia linawezekana lakini ujue Ebola ilikuwa ikiuwa 25% mpaka 90% kwa walioathirika
Lakini corona imeuwa 10% kwa walioathirika
Hapo inaonekana bado Ebola ilikuwa tishio sana
Yaani kutokwa damu sehemu zote daa mimi naona Ebola kiboko
Hii corona wengi waliopata wametibiwa na kupona wakiwa wametoka nje ya China



Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom