Huu ndio mda muafaka kuoa wachinaa

Mi nishaenda korea mzee wala sigeuzi huoni kitu hicho hapo juu cheusi flani muonekano wa kikorea rangi mchanganyiko flani huvi yani huaribu kizaigot chenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nishaenda korea mzee wala sigeuzi huoni kitu hicho hapo juu cheusi flani muonekano wa kikorea rangi mchanganyiko flani huvi yani huaribu kizaigot chenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nishadate na Korean woman na alishakuja mpaka TZ, kilichozingua ni ulokole niliokuwa nao wakati anatua ( JKNIA kipindi hicho cha 2010) nipo mwaka wa pili UDSM.
Tuliendelea na mahusiano yetu ila ilifikia kipindi akaona namzingua. Can't tell any more of it coz naumia whenever I remember of her... She real loved me
 
Wana Hips na makalio makubwa? Huo ndio ugonjwa wetu wababaa wa kiafrika.Waafrika waoao wachina ni ulimbukeni wa rangi nyeupe tu hawana uzuri wowote mkuu.Wanawake wanaofanana maumbile na waafrika ni warabu tu ndio walau hips na makalio makubwa utayaona.Ninahisi warabu wana damu ya waafrika kwa wing kuliko weupe wengine.
 
Wanamapozi vilevile kama ya kwenye movie zao? Ile "Saarange"
 
Yani ukashindwa kumpa mimba aiseee umeyumba wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Sio Mchina bali ana asili ya South Korea.
Wachina wana macho ya kubana/kuwamba na wengi wao ni wafupi tofauti na Koreans and Japanese
Daah bro umeweza kuwatofauti ila mimi huwa inaniwia vigumu sana kutofautisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…