Kama ushakaa nao sio ngumu kuwatofautisha mkuuDaah bro umeweza kuwatofauti ila mimi huwa inaniwia vigumu sana kutofautisha.
Usiishie kuwafikiria tu, fanikisha mkuuNi kweli kabisa mkuu!
Ila wachapa kazi kweli kweli niliwahi wafikiria Sana......
Daah pole sana broMi nishadate na Korean woman na alishakuja mpaka TZ, kilichozingua ni ulokole niliokuwa nao wakati anatua ( JKNIA kipindi hicho cha 2010) nipo mwaka wa pili UDSM.
Tuliendelea na mahusiano yetu ila ilifikia kipindi akaona namzingua. Can't tell any more of it coz naumia whenever I remember of her... She real loved me
😂😂😂😂 Mkuu ungejuwa 🙆 dah adi kutoka North Korea nshafanikisha!! Pigu za maisha tu ndio imekuwa taabu!Usiishie kuwafikiria tu, fanikisha mkuu
Oh kumbe ulikuwa huko huko, nazani utakuwa umezichezea Sana. Tupe ma experience mkuu😂😂😂😂 Mkuu ungejuwa 🙆 dah adi kutoka North Korea nshafanikisha!! Pigu za maisha tu ndio imekuwa taabu!
Asante sana, now ameshaolewa.Daah pole sana bro
Hiyo ndio Corona mkuu
Mapenzi yapo huko mkuu!Oh kumbe ulikuwa huko huko, nazani utakuwa umezichezea Sana. Tupe ma experience mkuu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mkuu kwanza nakupongeza kuandika kwa herufi ndogo maana ulikuwa huwezi.
Pia hongera kwa kutambua fursa, ngoja waje.
Ila wawe makini
My name is lie jueng and I live in Wahin Province, north of Guangzhou. I am looking for a friend from East Africa and am going to see my WhatsApp number on +8624597088
Mapenzi yapo huko mkuu!
Sio huku mbona hujatuma na yakutolea!
Pole Sana mkuu huku tuna wezi wa mapenzi na pesa!Ulisemalo nakukubali asilimia mia moja. Yule mkorea wangu alikuwa anafunga safari kunifuata Dar. Ningekuwa niko matured as now hakika ningekuwa nishamzalisha watoto kama wawili tunaishi pamoja by now.
Wana mapenzi ya kweli haswa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa mademu wa kibongo sijui wakoje, Yaani kuomba hela imekuwa kama fashion. Jana nimechukua Namba sehemu, jioni ananitext kuwa anaumwa anaomba hela aend hospitali 😀Pole Sana mkuu huku tuna wezi wa mapenzi na pesa!
Ukitumiwa msg 4 moja ya kuomba pesa!
Ukimuoa mchina ni lazima uwe na small house Mtanzania. Hao binadamu ni too cold. Niliwahi kutumia pesa mingi kumpata kisha nililaani kutumia pesa yangu kwa binadamu wa aina hiyo. Mwili baridi, shimo baridi, hawafai kabisa hao watu wa corona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utasikia tu baby nikuambie kitu dah.........Hawa mademu wa kibongo sijui wakoje, Yaani kuomba hela imekuwa kama fashion. Jana nimechukua Namba sehemu, jioni ananitext kuwa anaumwa anaomba hela aend hospitali 😀
Nikamdadisi anachoumwa nikajiridhisha kuwa haumwi wala nini, ilikuwa ni gia tu ya kunichomoa hela haha
Ukisikia hivyo ujiandae kisaikolojia maana kinachofuata ni mzinga tu hahahaUtasikia tu baby nikuambie kitu dah.........
......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukimuoa mchina ni lazima uwe na small house Mtanzania. Hao binadamu ni too cold. Niliwahi kutumia pesa mingi kumpata kisha nililaani kutumia pesa yangu kwa binadamu wa aina hiyo. Mwili baridi, shimo baridi, hawafai kabisa hao watu wa corona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Qíngrén Nipo Apa usijali