Huu ndio mda muafaka kuoa wachinaa

Huu ndio mda muafaka kuoa wachinaa

Mi nishadate na Korean woman na alishakuja mpaka TZ, kilichozingua ni ulokole niliokuwa nao wakati anatua ( JKNIA kipindi hicho cha 2010) nipo mwaka wa pili UDSM.
Tuliendelea na mahusiano yetu ila ilifikia kipindi akaona namzingua. Can't tell any more of it coz naumia whenever I remember of her... She real loved me
Daah pole sana bro
 
😂😂😂😂 Mkuu ungejuwa 🙆 dah adi kutoka North Korea nshafanikisha!! Pigu za maisha tu ndio imekuwa taabu!
Oh kumbe ulikuwa huko huko, nazani utakuwa umezichezea Sana. Tupe ma experience mkuu
 
Attachments

  • IMG-20200302-WA0057.jpg
    IMG-20200302-WA0057.jpg
    112.4 KB · Views: 2
  • IMG-20200302-WA0055.jpg
    IMG-20200302-WA0055.jpg
    26.8 KB · Views: 2
  • IMG-20200302-WA0053.jpg
    IMG-20200302-WA0053.jpg
    75.8 KB · Views: 2
  • IMG-20200302-WA0049.jpg
    IMG-20200302-WA0049.jpg
    86.1 KB · Views: 1
  • IMG-20200302-WA0043.jpg
    IMG-20200302-WA0043.jpg
    74.8 KB · Views: 2
Ulisemalo nakukubali asilimia mia moja. Yule mkorea wangu alikuwa anafunga safari kunifuata Dar. Ningekuwa niko matured as now hakika ningekuwa nishamzalisha watoto kama wawili tunaishi pamoja by now.
Wana mapenzi ya kweli haswa
Mapenzi yapo huko mkuu!
Sio huku mbona hujatuma na yakutolea!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulisemalo nakukubali asilimia mia moja. Yule mkorea wangu alikuwa anafunga safari kunifuata Dar. Ningekuwa niko matured as now hakika ningekuwa nishamzalisha watoto kama wawili tunaishi pamoja by now.
Wana mapenzi ya kweli haswa

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole Sana mkuu huku tuna wezi wa mapenzi na pesa!
Ukitumiwa msg 4 moja ya kuomba pesa!
 
Pole Sana mkuu huku tuna wezi wa mapenzi na pesa!
Ukitumiwa msg 4 moja ya kuomba pesa!
Hawa mademu wa kibongo sijui wakoje, Yaani kuomba hela imekuwa kama fashion. Jana nimechukua Namba sehemu, jioni ananitext kuwa anaumwa anaomba hela aend hospitali 😀
Nikamdadisi anachoumwa nikajiridhisha kuwa haumwi wala nini, ilikuwa ni gia tu ya kunichomoa hela haha
 
Utasikia tu baby nikuambie kitu dah.........
 
Back
Top Bottom