Huu ndio msosi wa bachela

Huu ndio msosi wa bachela

Bachelor nitakuletea rice cooker, ikurahisishie mambo.
Halafu hilo jiko lina oven kwa chini labda unatumia kupikia nini?
 
Nliwahi kujaribu hiyo ya ugali mayai haki nlikabwa koo sana hakuna appetite nikaishia kula mayai tu.
Enzi hizo nipo mwenyewe bila mtoto, ila sasa hivi nimekomeshwa lazima nipike cha kueleweka mtoto mwenyewe ni foodie usipopika vya kueleweka hali na anakuambia "mama iii mbaya"
Msosi tayari, mda wa kupika mboga ni shida aisee.... Ubachela bhana.View attachment 1213287
 
Bachelor nitakuletea rice cooker, ikurahisishie mambo.
Halafu hilo jiko lina oven kwa chini labda unatumia kupikia nini?
Rice cooker? Nitashukuru. Hamna oven hapo.
 
Back
Top Bottom